Tuwe makini na vinywaji kama soda na bia kwenye chupa

aisee watz mabwe...e, yaani ulaya hyo dili...

Mimi niliwahi kuagiza Sprite miaka 3 iliyopita...
Ilipofika nusu,funda lililofuata,kabla sijameza,niligundua kitu kinachoteleza mdomoni,mfano wa "makamasi"!
Nikatema fasta...

Tangu siku hiyo,hunipi Sprite nikakubali.

Miezi 6 iliyopita "Fanta Orange" kabla sijainywa niligundua uchafu mfano wa kamba ya katani iliyoogeshwa kwenye "oil" chafu...

Muuzaji akanibadilishia..
 
wakuu habari za SBS

Naona leo mmekuja na kali kabisa .... ila tafuteni marketing strategies za maana na si kuleta kashfa tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom