Tuwaheshimu wataalamu wetu wa hali ya Hewa

Profesa

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
905
624
Tusiingize siasa kwenye hali ya hewa. Ni vema kuchukua tahadhari kabla ya shari na kujifunza kujiandaa na majanga. Kupuuzia utabiri kumewaponza wengi katika nchi mbalimbali. Siombei mabaya, ila sidhani kama nchi yetu ia uzoefu wa kutosha kumudu majanga kama ya mafuriko na vimbunga.

Ukichukua tahadhari unajieweka fit linapotokea la kutokea, wenzetu wa nchi zilizoendelea, kutokana na misukosuko ya majanga a=ya asili, kuna wakati wananchi wao hujaribu hata kufnya mazoezi wakati kuko shwari ili kujenga uwezo wa watu wake kumudu majanga na kupunguza maafa.
 
Ye kaona wingu tu kaanza kubwabwaja

Bado nasubiri point zako ku-counterfeit kubwabwaja kwangu. Hili ni jukwaa la maoni na kukosoana kwa hoja sio kukejeli mahali ambapo watu wanajaribu kuleta hoja serious. Nataka nione wewe na mimi nani anabwabwaja. lete hoja.
 
ok bado unasubiri?
 
Back
Top Bottom