au wana jf, hasa malaria sugu, munaonaje?
Maana hawa vijana wamefulia kwa kukikana chama makini chadema
kila mtu ana haki ya kupenda chama chochote. Ni utashi wao tuwaache kama walivyo.