Tuungane kumuombeya Zitto na wapambanaji wengine

Mufiyakicheko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
892
86
hatuna budi kutowa tofauti zetu za kisiasa/din tuwaombee wapambanaji wetu wote walio kubwa na magojwa

Utukufu uwe kwako, Ee Bwana MUNGU! wetu nakusihi wewe kwa jina lako ambalo kwalo wewe umeinua juu bendera za uongozi wako, na umetawanya wangavu wa wema wako, ulifunua enzi ya ubwana wako, ambalo kwako taa ya majina yako imetokea kishubaka cha sifa zako, nayeye ambaye ndiye hema la umoja wako na mdhihilishaji wa kujitenga ameng'aa ambalo kwalo njia za uongozi wako zimejuliswa, na njia za ridhaa yako zimeainiswa.

Ambalo kwalo misingi ya makosa imefanywa itetemeke, na dalili za uovu zimeondolewa mbali ambalo kwalo chemchemi za hekima zimepasuka nje, na meza ya mbinguni imetelemswa ambalo kwalo umewahifadhi watumishi wako na umewajalia uponyaji wako. Ambalo kwalo umeonyesha nje rehema zako za upendo kwa watumishi wako ulidhihiriswa msamaha wako kati ya viumbe wako.

Nakusihi uwaweke salama yeye ambaye ameshikilia imara na kurudi kwako, na kushikilia kwenye rehema yako, nakushikilia upindo wa majaliwa ya upendo wako. Wewe, hakika, u mponyaji, mhifadhi, msaidizi, mwenye uwezo wote, mwenye nguvu, mtukufu kabisa, ajuaye yote.
 
Back
Top Bottom