Tuubatize jina gani msitu wa pande?

Ya nini kuupa jina? Bora uchomwe moto pawe peupe washindwe kufanyia udhalimu wao hapo. Ni bora kuharibu mazingira ya sehemu hiyo kuliko kuyalinda ili yaendelee kutumika kuulia wanyonge.
 
Nafikiri jina la Msitu wa damu ya wanyonge ni bora zaidi, majina mengine yanaweza kuwa yanaipa ccm au tiss
 
Habari zenu wana jamii, nimetafakari sana na kutaka kudadisi na kuufahamu huu msitu wa PANDE. Mara ya kwanza nilianza kuusikia huu msitu pale ambapo polisi waliwamiminia risasi za visogo wafanya biashara wawili wa madini pamoja na dereva tax wao...

Kweli JF siku tumepoteza hadhi na heshima yetu na hii akifanya mmoja msalaba unatushukia wote, leo badala yakuongelea mambo ya maana tunaongelea thread yakuupa msitu jina, hii ndio objective ya JF kweli? Tubadilike wana JF tunashuka hadhi kila siku

Kweli JF siku tumepoteza hadhi na heshima yetu na hii akifanya mmoja msalaba unatushukia wote, leo badala yakuongelea mambo ya maana tunaongelea thread yakuupa msitu jina, hii ndio objective ya JF kweli ? Tubadilike wana JF tunashuka hadhi kila siku

Unajua kuwa JF ina majukwaa? Hebu angalia jukwaa hili linaitwaje halafu ufute kauli yako
 
Kweli JF siku tumepoteza hadhi na heshima yetu na hii akifanya mmoja msalaba unatushukia wote, leo badala yakuongelea mambo ya maana tunaongelea thread yakuupa msitu jina, hii ndio objective ya JF kweli? Tubadilike wana JF tunashuka hadhi kila siku

sasa kiherehere chote cha nini kukurupuka kuchangia ikiwa umeona hakuna 'objective' katika ishu hii?. Nimeamini kweli wasiosoma ni chakula cha waliosoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom