TuTuhuma za ufisadi ulioibuliwa na shelukindo: wataalamu wa mahesabu tupeni mchanganuo wa hizi fedha

Inteprevist

Member
Nov 2, 2010
5
0
Serikali ya magamba imekuwa kila siku inakuja na maelezo ya kuchakachua kuhusu tuhuma mbalimbali zinazoelekezwa kwa serikali. sasa sijui watatuambia nini kuhusu huu ufisadi wa bil 1,050,000,000/=. sijui Jairo atatoa mahesabu gani kuhalalisha hiyo hesabu kubwa ya kifisadi namna hiyo kwamba imekwenda kusaidia uwasilishaji wa bajeti. kama kila wizara inatumia kiasi kikubwa hivi kwa uwasilishaji wa bajeti tena kwa hatua za mwisho kama barua ya KM Jairo ilivyosomeka basi ujue watanzania tunasubiri arobaini yetu tu. kwani tulishafariki na kuzikwa siku nyingi.

Hebu wataalamu wa hesabu tusaidieni kuonesha ni namna gani hizi fedha zingesaidia jamii kama zingeenda kwa mashule
 
Back
Top Bottom