tutofautishe muda wa mapenzi na muda wa kazi

daniel paul

Member
Nov 29, 2011
16
3
jamani wana jf tuwe wastaarabu kwa kujali muda. mapenzi yawe na muda wake na kazi zipewe muda wake. kuna tukio moja lili tokea katika wilaya ya kahama tar 13 februar ambapo mhandisi wa halmashauri alitoka ofisini saa nne asub na kwenda kuchukua mke wa mtu na kwenda kufanya nae mapenzi. tena mme wake ni mwalimu. mungu si athuman akabambwa live saa nne. wananchi walitaka kumpa kipondo lakin police ndio wakamhokoa. na tena hicho chumba alikiandaa maalumu kwa ajili ya kazi hiyo. sasa kwanini anatumia muda wa kazi kwa ajili ya mapenzi tena ya wizi wa mke wa mtumishi mwenzake
 
umeshawahi sikia 'haramu zote tamu'?
Na wapi walisema mapenzi ni saa ngapi
umeshasikia kitu 'quickie'?

Hakuna raha kama penzi la wizi, asikwambie mtu
ni kama kula nyama ya mtu, huwezi acha.
 
Hahahaha, yani hapo wewe umeona kosa kubwa ni kutumia muda wa kazi kwa vitu binafsi?
 
Back
Top Bottom