Tutengeze pesa...biashara ya kutengeneza viatu.mawazo

gambagumu

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,818
2,423
Wapendwa habari za jioni. NATAMANI sana kuanzisha biashara ya kutengeneza viatu kwa kutumia ngozi ya hapa nchini mwetu, kama mjuavyohi nchi yetu ina mifugo mingi sana.NAOMBENI kwa wale wenye information wanijuze ni mashine za aina gani rahisi zinahihatajika kwenye usindakaji ,ukataji na ushonaji wa ngozi ? ni wapi naweza kupata mashine hizo na pia ambopa naweza kuagiza sole za aina mbalimbali? je kuna chuo chochote hapa tanzania au east africa ambacho kinatoa kozi fupi ya utengenezaji wa viatu vya ngozi?
 
tembelea Jaet (sina hakika na spelling) kule mwanza, wanatengeneza bidhaa za ngozi za quality nzuri sana though ni expensive kwa walaji wa kawaida.

Kiwanda chao kiko Igoma au duka lao liko bara bara ya tanesko.

Tena mwenye kiwanda hicho nadhani ndo mwenyekiti wa wenye viwanda vinavyoshughulika na bidhaa za ngozi.
 
nitafutie Wallet huko uniletee
 
kuna tarafa inaitwa Mlali [wilaya ya gairo/kongwa sina hakika sana baada ya mgawanyo mpya wa wilaya iliangukia wapi] kulikuwa na kiwanda kidogo kinatengeneza viatu vinaitwa safari boot made of pure animal products, ni viatu vizuri sana, vyepesi na imara halafu utengenezaji wake haupo complicated.. soli yake ilikuwa inanata kikikaa chini kwa muda mrefu au kulainika vikianikwa kwenye jua kali.
Jaribu kuuliza kama bado wanaendelea kutengeneza c'se ni miaka imepita bila kuwafuatilia
 
Ntakuletea waleti na mkanda.
Unapenda ngozi ya samaki? Nyoka? Kenge au Mamba?
Au unapenda ngozi kama ya zebra au ng'ombe inayoachwa na manyoya?

ya nyoka please no...lol
any ambayo itakuwa elegant na stylish
 
Back
Top Bottom