Tutaweza kumaliza tatizo la ukataji miti na umaskini wetu wa-tz?

DOTTO MUNGO

Member
Mar 11, 2012
15
1
Habari; pamoja na juhudi mbalimbali za kutoa elimu juu ya utunzaji wa mazingira hususani upandaji wa miti, bado tutaendelea kuwa waharibifu wakubwa wa mazingira kwani wananchi wengi hasa wa vijijini hawana uwezo wa kutumia nishati mbadala kama vile solar power, HEP, Gio gas, nk, hata kama wakipatiwa huduma bure ya kuunganishiwa umeme, uwezo wa kulipia kwa wanakijiji wengi ni finyu. Tutaweza kwa mbinu zipi kulikabili tuwa na kipato kidogo?
 
Back
Top Bottom