Tutatue matatizo madogo madogo ya sim card na mobile phone

Slave

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
5,314
2,635
Ndg zangu ktk jf.najua wengi wetu uwa tunapatwa na matatizo madogo madogo katika simu zetu na pengine kwa kutokufahamu tatizo huwa tunachukua uamuzi wa kwenda kwa fundi simu au kupiga simu customer care.hivyo basi nimeona bora nielekeze namna ya kutatua matatizo madogo madogo.NIANZE NA SIMCARD. 1.kutoa voice mail na call divert bofya ##002# kisha ok 2. Kupata PUK nenda msg>andika PUK acha nafasi namba ya line unayotaka kujua puk yake kisha tuma kwenda 123(hii nikwa voda). 3. Msg haziingii wala hazitoki. Menu>message>message setting>sending profile>service center> 25575114(voda) 4.kuzuia simu usizo zihitaji menu>setting>call settings> no.screening >ingiza namba unazotaka kuzizui.(baadhi ya nokia) 5.kuzuia simu zote zisiingie> bonyeza *35*0000# Kisha ok. Na kujitoa bonyeza #35*0000# kisha ok 6.ku divert simu ziende kwingine menu>setting> call settings>call divert>divert all voice calls>actvate>to other number kisha ingiza namba unayotaka simu zako ziende.(hii nzuri sana kwani unaweza kudaiveti kwa mtu yoyote uliye karibu nae kama chaji umeishiwa na ukaweza kupokelea simu zako kwa rafiki/mke/au hata simu ya ofisini hivyo watu wako watakupata) HAYA NI YALE NINAYOFAHAMU MIMI PIA NA WEWE UNAWEZA KUONGEZEA LENGO NI KUJIFUNZA.

apdate

1. Mobile Phone Dead
2. Insert Sim Card Problem
3. Hanging Problem
4. Network Problem
5. Mic Problem
6. Ringer Problem
7. Speaker Problem
8. Vibrator Problem
9. Display Problem
10. Mobile Restart/ Switch Off Automatically Problem
11. Call Cut Off Problem
12. Charging Problem
13. Keypad Problem
14. Sim Lock/ Mobile Lock Mobile
15. Contact Service/ Contact Retailer/ Contact Manufacturer
16. Battery Discharge Problem
17. Gallery Not Opening Problem
18. Camera Problem
19. FM Radio
20. LED Problem
21. Memory Card Problem
22. Bluetooth Problem

use full post, wow!<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/A S 465.gif" border="0" alt="" title="A S 465" smilieid="101" class="inlineimg" />
<br />
<br />
safi sana.
 
kufanya manual configuration ya internet kwenye simu yako
just post your phone and its model... Mfano nokia 9300
 
kufanya manual configuration ya internet kwenye simu yako
just post your phone and its model... Mfano nokia 9300

........,........kisha tuma kwenda 232 hiyo airtel. Kwa voda andika hivyo hivyo kisha tuma kwenda 15300. Na utapata ujumbe ukikutaarifu juu ya huduma uliyoomba.
 
........,........kisha tuma kwenda 232 hiyo airtel. Kwa voda andika hivyo hivyo kisha tuma kwenda 15300. Na utapata ujumbe ukikutaarifu juu ya huduma uliyoomba.

Tigo tuma andika aina ya simu na model yake kisha tuma kwenda namba 500,kama haikubali wapelekee wanakufanyia configuration wenyewe
 
Tigo tuma andika aina ya simu na model yake kisha tuma kwenda namba 500,kama haikubali wapelekee wanakufanyia configuration wenyewe

kwa tigo kama unatumia Nokia nenda Settings>configuration>Personal configuration settings >chagua TigoWeb> nenda Default configuration Settings chagua Personal config.
 
kucheki lifetime ya simu bonyeza *#92702689# given in weeks',,works on most Nokia Brands........:hat:

post any software problems here'...
 
Ndg zangu ktk jf.najua wengi wetu uwa tunapatwa na matatizo madogo madogo katika simu zetu na pengine kwa kutokufahamu tatizo huwa tunachukua uamuzi wa kwenda kwa fundi simu au kupiga simu customer care.hivyo basi nimeona bora nielekeze namna ya kutatua matatizo madogo madogo.NIANZE NA SIMCARD. 1.kutoa voice mail na call divert bofya ##002# kisha ok 2. Kupata PUK nenda msg>andika PUK acha nafasi namba ya line unayotaka kujua puk yake kisha tuma kwenda 123(hii nikwa voda). 3. Msg haziingii wala hazitoki. Menu>message>message setting>sending profile>service center> 25575114(voda) 4.kuzuia simu usizo zihitaji menu>setting>call settings> no.screening >ingiza namba unazotaka kuzizui.(baadhi ya nokia) 5.kuzuia simu zote zisiingie> bonyeza *35*0000# Kisha ok. Na kujitoa bonyeza #35*0000# kisha ok 6.ku divert simu ziende kwingine menu>setting> call settings>call divert>divert all voice calls>actvate>to other number kisha ingiza namba unayotaka simu zako ziende.(hii nzuri sana kwani unaweza kudaiveti kwa mtu yoyote uliye karibu nae kama chaji umeishiwa na ukaweza kupokelea simu zako kwa rafiki/mke/au hata simu ya ofisini hivyo watu wako watakupata) HAYA NI YALE NINAYOFAHAMU MIMI PIA NA WEWE UNAWEZA KUONGEZEA LENGO NI KUJIFUNZA.
wakuu hapo kwenye nyekundu ikitoke umezuia simu zako hiyo inayoanza na hashi ndo inayoweza kuruhusu tena.
 
samsung(unknown)*2767*7377# master unlock code
samsung a800-*2767*637#
*2767*3855#
v200 s100 and s300-five steps unlock codez az followz without sim card
*2767*63342#
*2767*3855#
*2767*2878#
*2767*927#
*2767*7822573738#
e700 *2767*688#
OLD VERSIONZ
SAMSUNG S105 *2767*7822573738# after the phone reboot enter #0111*00000000#
*2767*2878#-custom eeprom reset
*2767*3855#-full eeprom reset
*#0523#/*#9998*5232 adjust lcd contrast
9998 unlock a188/sgh600
Alcatel
hd1-he1 25228353
be1-be3 25228352
be4-be5 83227423
bfx 83227423
83257423
reset ###337*07#
full factory setting ###847#
panasonic gd67
press 746 n press menu button twice,dis will enter sp menu
select "network" in simlock menu n press unlock
enter nck code n press ok
dats it!!
Siemens
me45/s45
to see barrings and secret code enter *#0606# without sim card
to set factory settings enter *#9999#
to reset langauge to english enter *#0001#
Nokia
6110/7110/6150/6250/5110
to increase battery life enter *4720#-to deactivate enter #4720#
Ericsson
ga628
to reset language to english enter *#0000#
Bosch
*#9100# remove sim lock
*#9101# remove corporate lock
*#9102# remove provider lock
*#9103# remove network lock
*#9104# remove subset lock
motorola
19980722 unlock phone n simlock t2688/t2988/t191
menu+5+1/2 unlock phone lock
20010903 unlock phone lock t190
t190,t191,c200-20010903
bard reset
*#8000* after entering *#3676*
 
Kwa wale wanaotumia Iphone 2G,3G,3Gs na 4G wakitaka kutumia internet hawana haja ya kwenda network provider wanachotakiwa kufanya ni kufungua akaunti kwa kutumia itunes unaclick store utakuta open new account unafungua na kujaza fomu kwenye nchi usijaze Tanzania kwa sababu hatuna istore jaza Kenya,ikishakamilika utakuwa umeshajiunga,so subiri kidogo ili server iweze kuitambua simu yako imei model pamoja na ukubwa wake baada ya kuitambua sasa unaweza kuitumia simu yako kwenye internet,download opera mimi browser nddio ipo faster kuliko safari,kwenye kudownload itakuja msg ya kuingiza aacount yako na password ukishaingiza hapo ni baada ya kufungua App store.
 
mkuu hiyo kitu iphone nasikia nimatata sana. Pia nahitaji kuimenya.vp kati hizo ulzotaja hapo juu ipi nzuri zaidi kati ya 2g,3g,3gs na 4g.mkuu hembu weka mchanganuo.
 
4g ni nzuri kwa kuwa ni latest na speed ya internet kidogo ni kasi na kamera yake ina taa pamoja na megapixel wameongeza na unaweza kuplay video in HD lakini 3GS ni nzuri na ni imara sana kuliko 4g unaweza ukaidondosha isiharibike kama zilivyo simu nyingi kwa sasa,nikumbushe kidogo OS zake ni hizo hizo hazitofautiani ila ukinunue baadhi ya apps zinatofautiana kidogo hasa za masuala ya camera,ukubwa hazitofautiani sana kuna 3gs ya 8gb,16gb na 32 gb hali kadhalika 4gb wao wanaanzia 16 gb na kuendelea.
 
Back
Top Bottom