TUTARUDIA HOTUBA YA Mh. CHRISTINA LISSU NA Mh. ZITO KABWE KUANZIA SAA 8.30Mch. Leo

Kwanini Chadema kuna kina Lissu wengi namna hii? Tundu Lissu, Christina Lissu, Cecilia Lissu, Joachim Lissu, Mapillya Lissu.

Na bado kabisa sasa listi itaongezeka akina Nyoni's, Mabula's, Mwakibinga's, Rugumamu's, Kilamkela's, etc? Si nyie mapandikizi mlisema cha Kaskazini's? Sasa imekuwaje? Manatafuna maneno yenu kama yule Katibu wenu aliyesema eti Bob Makani (R.I.P) ndiye mwasisi pekee ambaye hakutoka kundi lile!!! Bongo lala bila upembuzi yakinifu!!
 
moses nnauye,nape nnauye,yusuf makamba,januari makamba,husein makamba hafsa makamba,hanifa makamba,vita kawawa,zena kawawa,zainab kawawa,sophia kawawa,rashid kawawa na hii nayo tuiiteje?ukabila,udini au ujimbo?

Mimi ndo maana naikubali CDM ina watu wana akili kama hawa, they think before action!!!! Thank you maana naona mods wamediable katufe ka like ningekugongea!!
 
Kule Arumeru wakati wanatafuta nafasi walioikosa nyinyiemu mlimnadi sana Mfiwa eti sababu baba alikua mbunge basi wampe na mtoto, kweli pale mliona mnarusha sera ila hapa mnaanza kufwatilia majina yanayofanana, NYANI HAONI KUNDULE, hata hivyo pilipili inayoliwa CDM inaenda kuwashia CCM? hahahaaaaaaa, nenda uje tena na utumbo mwingine.
 
Back
Top Bottom