Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Huna lolote jipya humu,umekosa kazi ya kufanya unaweka post za upuuz humu!.........akili yako wewe mda mwingi inafikiria kwenda haja kubwa tu,usipobanwa ndo unaanza kuandika tetesi za ki-ass

acha ushamba wewe kwani bandle unampa wewe kama imekukera piga kimya au unawashwa kuandika upuuzi wengine ina umuhimu kwetu. samahani lakini nakutua bwaaaaaaaa. hahahaha
 
kuongoza shule za private hiyo ni kawaida na sio kwamba wana akili saaaaaaaana hapana ila vitendea kazi wanavyo vya kutosha.ebu shule za kata wapewe nao vitendea kazi tuone.
 
hahahahahahahaahhahaahah!! sasa broka una advice au una agitate? maana kama unapiga madongo:majani7:
sio haikusaidii tu bt huenda pia haikuhusu that y haikushughulishi na haitakua hivyo bt ni muhimu kwa yule inayomuhusu
 
Huna lolote jipya humu,umekosa kazi ya kufanya unaweka post za upuuz humu!.........akili yako wewe mda mwingi inafikiria kwenda haja kubwa tu,usipobanwa ndo unaanza kuandika tetesi za ki-ass

Acha hzo nan alikuambie ucfaulu 4m 4 yako! Post ni muhimu esp kwa wahucka
 
Ningependa kuzungumza na watanzania wote kuwa, popote tunapofanya mambo yenye mafanikio mazuri, subira na utendaji kazi mzuri ni vya muhimu. Kwa sasa tunauliza sana juu ya matokeo ya kidato cha nne. Nafikiri ni vyema tuache kuwatia presha ili wafanye kazi kwa ufanisi na watupe matokeo hayo kwa wakati. Naamini kuwa kama matokeo yakitoka inabidi tuyakubari kwa sababu wanaoyaandaa tunawaamini na wamepewa dhamana ya kufanya kazi hiyo. Namalizia kwa kusema, a developed state is a product of hard worker and responsible mass.
 
Back
Top Bottom