Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Siyo degree za kujisifu, utakapo fanikiwa kupata degree ndiyo utamuelewa MARO BM alichokuwa anamaanisha. Kwasasa ni ngumu sana kwako kumuelewa. Hii maada ungeipeleka Facebook ingefaa sana maana kule kuna wanao fanana na wewe wengi sana.

Bila shaka we ni undergraduate pale saut au arusha maana degree holder anaejielewa,MA na kuendelea hawawezi kuandika huu upuuzi....alwayz insane neva daut!
 
Bila shaka we ni undergraduate pale saut au arusha maana degree holder anaejielewa,MA na kuendelea hawawezi kuandika huu upuuzi....alwayz insane neva daut!

Kiherehere kibaya sana. Uliambiwa wewe... Au nyinyi ndiyo wale wenye ID mbilimbili humu ndani? Nimependa hayo maneno yako maana it is self explanatory personality.
 
Siyo degree za kujisifu, utakapo fanikiwa kupata degree ndiyo utamuelewa MARO BM alichokuwa anamaanisha. Kwasasa ni ngumu sana kwako kumuelewa. Hii maada ungeipeleka Facebook ingefaa sana maana kule kuna wanao fanana na wewe wengi sana.

Na nyie wa QT mkipata nafasi huwa malimbukeni! MARO BM na Wewe si VIYU T (QT's)
 
eti wana jf matokeo ya waliomaliza pepa la kidato cha nne necta mwaka jana yanatoka lini....?
NIMESIKIA WENGINE WANASEMA MWEZ WA NNE ,WENGINE MWEZI WAPILI , Nipate uhakika kutoka kwenu....

vuta subira ndalichako anayahakiki akimaliza tu ATATANGAZA
 
Time will tell, tuvuten subira tujajua zp mbich na zp mbivu. Af tabia ya kuzusha habar za uongo kuhusu matokeo sio nzuri. Kama huna uhakika na unachosema bora unyamaze tu, kuliku kuzusha zusha tu
 
It's highly rumoured that the results will be released next week. Just wait, my young brother. Everything'll be alright, whether good or bad.
 
tokeo lktoka jamn endpo wanafnz watakaofl wakwa n weng,2andamane paper lirudiwe.kdog itaxaidia kwa watkaojielewa
 
Back
Top Bottom