Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Muda wowote kuanzia hivi sasa matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa wa 2012 yanaweza kutangazwa rasmi. Kama kawaida wadau wengi wa maendeleo hususan sekta ya elimu wanatarajia mengi, hata vimbwanga na takwimu za hapa na pale mradi siku zinapita, ilhali kuna tatizo la msingi kwenye elimu yetu ya sekondari, mara nyingi baada ya matokeo tumepata zaid kujua wanaoendelea na masomo ya form v na vi na vyuo vya ufundi.

Swali langu linakuja je hawa malaki watakaopata sufuri??? narudia tena sufur? au four ya sawa na sufur?? tunawasaidiaje kama taifa? maamuz ya leo matokeo ya kesho.

Mfano: Waliofaulu kwenda kidato cha kwanza mwaka huu 2013, zaid ya 50% wamepata daraja D. sasa kwel tunaweza kuendeleza elimu yetu kwa kufurahisha wanasiasa pekee? na takwimu za danganya toto? ubaguzi wa elimu waz waz? tufanye ki2, tuache kulalamika.. wewe unaona tukifanyie nini kizaz hiki? au tukiache tu kipotelee huko??

Tushirikishane..UDONGO UWAHI UNGALI MAJI !
mimi nasubiri kusikia wazee wa MOU na Mfumo kristu watasema nini pale christians seminary school zitakopo cheza kwenye 10 bora....tusubiri.
 
NA sisi ndio wazazi wao!!!!

Tufanyeje, tunatimiza wajibu wa kulipa ada, kuhubiri tabia nzuri kwa nguvu na mbinu zote, matoto hayasikii. Acha yapige wiper na muziki maana naona wote walioshindwa shule wanakwenda Bongo fleva music! Na kuigiza eti filamu!!!!!!!!!!!Hapa TZ hakuna filamu ni maigizo yalito advanced tu!
 
Tufanyeje, tunatimiza wajibu wa kulipa ada, kuhubiri tabia nzuri kwa nguvu na mbinu zote, matoto hayasikii. Acha yapige wiper na muziki maana naona wote walioshindwa shule wanakwenda Bongo fleva music! Na kuigiza eti filamu!!!!!!!!!!!Hapa TZ hakuna filamu ni maigizo yalito advanced tu!

Je unayofanya ndiyo waliyofanya wazazi wako kwako mpaka ukawa hivyo ulivyo??
Think again...before you blame your kids.
 
:mimba:Nimepata taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kuwa Matokeo ya kidato cha Nne 2012 yatatolewa Mwezi wa Nne (04) kwa sababu mwaka huu kidato cha tano wanaanza mwezi wa Sita au wa Saba kufuatia mabadiliko ya Mihula iliyopitishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, wadau futilieni!

Si kweli kwa mujibu wangu.fungua web ya necta halafu utagundua kwanin nimekanusha matokeo kutangazwa APRIL AU JUNE
 
Sufuri zinazopatikana kwa watahiniwa wa kidato cha nne zinatokana na namna gani tumewekeza na kuithamini elimu yetu....matatizo yapo upande wa wawezeshaji/walim na wawezeshwaji/wanafunzi...
Upande wa wawezeshaji kuna haya;
1) sekta ya ualimu haina mwenyewe, kila mmoja ni mwalimu na anaweza kuamuru mwanafunzi afanye nini..kwa upande wa shule nyingi za binafsi hasa zilizo mikoani walimu wenye taaluma ni wachache, weng ni six leavers na watu toka kada nyingine mbali na ualimu waliokosa ajira na kukimbilia kwenye dampo la ualimu lisochagua, bora awe amepita form six anaingia kuanza kurekebisha akili za wanafunzi. Kuwepo kwa watu hawa kwa kiasi fulani kunasababisha matokeo mabaya ya wanafuni wetu kwa sababu japo wanaweza jua content lakini njia na namna ya kumfundisha mwanafunzi hawajui, pia wengi hufanya kaz kwa kulipua tu kwa sababu wanajua wakati wowote wanaweza ondoka kwa sababu sio fani yao, pia hawa ndio kwa kiasi kikubwa wanaharibu nidhamu shuleni, waangalie jinsi wanavyoongea na wanafunz ni kisela, wanatongoza wanafunzi nk yan ni vurugu, japo kuna baadhi ya profesiana techers wanavijitabia hiv, sababu zake nitazieleza.
1)Malipo madogo katika fani ya ualimu. Jamani tuache ushabiki, sekta ambayo inaathiri maendeleo ya taifa lolote ni elimu, taifa tulilonalo leo na tunalotarajia kuwa nalo kesho lazima limepitia na lipitie katika mikono ya mwalim, kama ni taifa lililojaa ujinga bac ni dhahili limepitia katika mikono ya walim wa namna hiyo na kama ni taifa lililoelimika basi ni kaz murua ya walim. Hii inaonesha ni jinsi gani mwalim anatakiwa kuboreshewa maslahi yake ili atulize akili yake na hatimae tupate taifa lililoelimika vizuri, madaktari wazuri, maengeneers, lawyers,n.k hu tokana na kazi ya walim.Hivyo illi mwalimu aweze kumuandaa vizuri mwanafunzi ni lazima apewe malipo yatayomwondolea stress ya maisha, kutokana na ujira mdogo ndo maana walimu hawakai na wanafunzi muda mwingi kwan baada ya mda wa kaz tu anaondoka kwwenda kujitafutia kipato cha ziada,sasani muda gani ataanza kufuatilia maendeleo ya mwanafunzi? Kwani mda wakaz wa mchana pekee hautoshi inabidi mambo mengine na maandalio ya ufundishaji uyafanye nje na muda wa kaz..lakn nani apoteze muda wake wakat hatamshara wenyewe hautoshi?.
3)Product za wanafunzi wanaosomea fani ya ualimu. Historia inaonesha enzi za utawala wa mwingereza hapa Tanganyika,ufaulu wa mwanafunzi ndo uliamua aende fani gani...daraja la kwanza na la pili ndio waliokuwa walimu kuwafundisha wenzao mfano ,Nyerere, daraja la tatu ndio waliokuwa makarani, messangers n.k, daraja la nne ndio waliokuwa wanafanya kaz ngumu kama udreva,migodini,jeshini,umakenika n.k. Sasa hebu angalia baada ya uhuru na hivi karibuni, wanafunz wanaopata daraja la kwanza na la pili hawawaz kabisa kuwa walimu na kaapbasi wachache na hasa watoto wa wakuwjili ya urahisi wa ajira, wengi huenda kusomea sheria, uongozi na fani nyingine kabisa mbali na ualimu; lakini baadhi ya waliopata daraja la tatu na dampo la waliopata daraja la nne ndo wanakuwa walim wa kizazi tunachotarajitatufanyia mak katika endeleo ya Taifa hili. Hivi kweli ni sahihi kukabid watoto wetu kwa mwanafunzi aliepata daraja la nne na tutegemee wawe na akili za kuweza kuwazidi walimu wao waliowafundisha? Mwalimu alie na uwezo mdogo hawezi mfundha mwanafunz nje na akijuacha, na ikibidi huweza kumdanganya pia.Kwa nin wanafunz waliopat daraja la kwanza na la pili wasiwe walimu? Ili wanafunzi wapata elimu stahiki?
huo ni upande wa walim..kwa wanafunzi nitaendelea.
 
eti wana jf matokeo ya waliomaliza pepa la kidato cha nne necta mwaka jana yanatoka lini....?
NIMESIKIA WENGINE WANASEMA MWEZ WA NNE ,WENGINE MWEZI WAPILI , Nipate uhakika kutoka kwenu....
 
Jiandae kuvuna ulichopanda, matokeo kuanzia leo tarh 25 yanaweza kutangazwa.

All the best.
 
Tujitahid tu kuvumilia kwani hata wakitoa mwez wa nne one,two or three ziko palepale wao wanajichelewesha tu.
 
Back
Top Bottom