Tutarajie nini matokeo kidato cha nne 2013?

Fortilo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
4,722
14,248
Muda wowote kuanzia hivi sasa matokeo ya kidato cha nne kwa watahiniwa wa 2012 yanaweza kutangazwa rasmi. Kama kawaida wadau wengi wa maendeleo hususan sekta ya elimu wanatarajia mengi, hata vimbwanga na takwimu za hapa na pale mradi siku zinapita, ilhali kuna tatizo la msingi kwenye elimu yetu ya sekondari, mara nyingi baada ya matokeo tumepata zaid kujua wanaoendelea na masomo ya form v na vi na vyuo vya ufundi.

Swali langu linakuja je hawa malaki watakaopata sufuri??? narudia tena sufur? au four ya sawa na sufur?? tunawasaidiaje kama taifa? maamuz ya leo matokeo ya kesho.

Mfano: Waliofaulu kwenda kidato cha kwanza mwaka huu 2013, zaid ya 50% wamepata daraja D. sasa kwel tunaweza kuendeleza elimu yetu kwa kufurahisha wanasiasa pekee? na takwimu za danganya toto? ubaguzi wa elimu waz waz? tufanye ki2, tuache kulalamika.. wewe unaona tukifanyie nini kizaz hiki? au tukiache tu kipotelee huko??

Tushirikishane..UDONGO UWAHI UNGALI MAJI !
 
1. Wapunguze KUKARIRI NYIMBO za bongo fleva
2. Wajenge utaratibu wa KUJISOMEA badala ya KUTAZAMA BONGO MOVIE muda mwingi.
 
Na watoto hamsomi kwa dhati, tunawaona na wala sio maneno ya kusikia. Sana sana kuvaa mlegezo. Wakifeli waende wapige wiper!
Ngoja mpaka matokeo yatoke ndio tujadili.
 
1. Wapunguze KUKARIRI NYIMBO za bongo fleva
2. Wajenge utaratibu wa KUJISOMEA badala ya KUTAZAMA BONGO MOVIE muda mwingi.

Sawa kabisa, hopeless hawa watoto, mapenzi na ngono tu. Wanachoweza ni kutazama channel 5 kwenye bongo fleva na upuuzi mwingi huko. Achana nao wabebe mizigo yao.
 
:mimba:Nimepata taarifa kutoka kwenye chanzo cha kuaminika kuwa Matokeo ya kidato cha Nne 2012 yatatolewa Mwezi wa Nne (04) kwa sababu mwaka huu kidato cha tano wanaanza mwezi wa Sita au wa Saba kufuatia mabadiliko ya Mihula iliyopitishwa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, wadau futilieni!
 
Hapo kwenye Red naomba funguka zaidi hicho chanzo cha kuaminika, nani anakiamini? tukijue ili wote tuwezekukiaamini maana tushaanza kusikia eti eti nyiiiiingi
 
Kweli mfumo wa elimu tanzania ni kizungumkuti!! Kila siku mara sylabus imebadilika, mara kuchukua intake mara vile, sielewi ni kwa nini? Udhaifu mwingi kila kona!!
 
Acha uongo wewe kwani matokeo ya kidato cha nne kazi yake ni kuchagua wanafunzi wanao enda kidato cha tano peke yake? Shughulisha akili yako hata kidogo.
 
Sidhani kama ni kweli, kawaida baada ya matokeo wanafunzi ambao hawakufanya vema huamua kujisajili ili wa re-sit, kwa mwaka huu usajili huo umeanza january 1 na utaisha mwisho wa mwezi march. Iwapo matokeo yatatoka April maana yake hawa watu hawatasajiliwa mwaka huu jambo ambalo sidhani kama NECTA wanaweza waka overlook namna hiyo.
 
Mkuu baba V hapo umemaliza kila kitu na sio huyo mleta mada aliyekurupuka.
 
Inawezekana ni kweli kwani mfumo wa elimu umebadilika sana lakini kuhusu risitaz nasikia hata mtihani utasogezwa mbele kama kuna mwenye uhakika atoe presha wahitimu jamani
 
Sijaona kama kuanza kidato cha tano mwezi wa sita au wa saba inaweza kuwa sababu.
 
wakae kwanza nyumbani mwaka moja and then tutawapeleka VETA hapo ndipo watajua umuhimu wa kusoma kwa bidii wawapo shuleni miaa
 
Back
Top Bottom