Tutangaze mgogoro wa kisiasa na Edward Ngoyai Lowassa

Hayo maneno badala ya kuleta hoja za msingi unaanza kujadili mtu harafu unataka maisha bora duh kweli kazi ipo.
 
Mkuu huyu njemba nenda kanywe nae chai tu sisi tulio wengi hatumtaki aisee,kweli ana mazuri lakini mabaya yake yamezidi halafu tujaribu kutafakari kidogo nguvu yote hii ya kwenda Ikulu 'anaenda kufanya nini' ?

Sitarajii rais ajaye kama atatoka CCM,lakini nikwambie kwa upande wa chama cha magamba Lowasa ndiye mgombea bora kabisa anaweza tusumbua CDM.
 
WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM.
HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILo

KWANINI MGOGORO WA KISIASA

1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA ANASEMA UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KILUPUKA NAOMBA ATUELEZE ALIVYOKUWA SERIKALINI ALIFANYA MKAKATI GANI KUKABALIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

2. YEYE NI M/KITI KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE NA ULINZI, JE AMEFANIKISHAJE KUWATAFUTIA VIJANA AJIRA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA NAFASI YAKE HIYO BUNGENI?AMEWASILISHA MKAKATI GANI KUTATUA TATIZO KAMA BADO HAJA FANIKISHA?

3. KULE MONDULI AMBAKO YEYE NI MBUNGE AMEWAFANYIA NINI VIJANA KUKABILIANA NA AJIRA AU ANATUJAZA CHUKI?

4. YEYE NI MNEC AMESHAURI NINI CHAMA CHAKE KINACHOUNDA SERIKALI NA KUTEKELEZA ILANI YAKE KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

*****LOWASSA NI MOJA YA CHIMBUKO KUU LA MATATIZO TULIYONAYO HUMU NCHINI, KILA UMEME UKIKATIKA LAZIMA TUMLAANI?hajui bei za vyakula, usafiri na mahitaji mengine yakipanda kwa ughali wa uzalishaji unaosababishwa na umeme tunamlaani yeye?

Kwanini anatumia advantage ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama silaha kubwa kila anapozungumza?hajui kuwa vijana tuna chuki nae kubwa kwa ushiriki wake wa kuajiri kwa kujuana na kupendeleana ambapo katika mfumo huu anamkono mkubwa?

Kwanini anataka kutufanya vijana ni mtaji wake wa kisiasa?Mr White hair tumekushutukia na tunatangaza mgogoro wa kisiasa na wewe

Lowassa ur disaster to us acha kutughilibu mzee wangu, au tuingie barabarani kutaka mchukuliwe hatu kwa kuwa serikali ya mshikaji wako inakulinda?

Lowassa fuata ushauri wa Mzee Msekwa acha mbio za uraisi, kuvuruga utawala mbona ulipokuwepo hakuna jipya la maaana?
. Huyu jamaa ni ndumilakuwili na inaonekana ana usongo na uprezidaa vibaya mno. Anasahau kwamba alianzia ujana na kuzeekea akiwa katika chama cha magamba. Suddenly baara ya kutoswa uwaziri mkuu anajifanya kama ni MMMMMPYAAAA. ANAFIKIRI UKOSEFU WA AJIRA UMEONGEZEKA KUTOKANA NA KUTOKUWEPO KWAKE KAMA PM WA TZ! JAMANI WATANZANIA TUMEAMKA,HATUDANGANYIKI. MIKAKATI WALIYOITUMIA NA SWAHIBA WAKE JK KUELEKEA 2015 HAIFANYI TENA KAZI KIZAZI HIKI. TUMECHOKA!
 
kuelekea 2005. Nilikuwa na usongo sana na mnafiki huyu. Wamezidi kutufanya kichwa cha chizi.
 
Sitarajii rais ajaye kama atatoka CCM,lakini nikwambie kwa upande wa chama cha magamba Lowasa ndiye mgombea bora kabisa anaweza tusumbua CDM.
Mkuu bila TUME HURU na KATIBA SHIRIKISHI Rais atatoka CCM 2015,2020,2025 ...
 
WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM.
HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILO.

KWANINI MGOGORO WA KISIASA

1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA ANASEMA UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KILUPUKA NAOMBA ATUELEZE ALIVYOKUWA SERIKALINI ALIFANYA MKAKATI GANI KUKABALIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

2. YEYE NI M/KITI KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE NA ULINZI, JE AMEFANIKISHAJE KUWATAFUTIA VIJANA AJIRA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA NAFASI YAKE HIYO BUNGENI?AMEWASILISHA MKAKATI GANI KUTATUA TATIZO KAMA BADO HAJA FANIKISHA?

3. KULE MONDULI AMBAKO YEYE NI MBUNGE AMEWAFANYIA NINI VIJANA KUKABILIANA NA AJIRA AU ANATUJAZA CHUKI?

4. YEYE NI MNEC AMESHAURI NINI CHAMA CHAKE KINACHOUNDA SERIKALI NA KUTEKELEZA ILANI YAKE KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

*****LOWASSA NI MOJA YA CHIMBUKO KUU LA MATATIZO TULIYONAYO HUMU NCHINI, KILA UMEME UKIKATIKA LAZIMA TUMLAANI?hajui bei za vyakula, usafiri na mahitaji mengine yakipanda kwa ughali wa uzalishaji unaosababishwa na umeme tunamlaani yeye?

Kwanini anatumia advantage ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama silaha kubwa kila anapozungumza?hajui kuwa vijana tuna chuki nae kubwa kwa ushiriki wake wa kuajiri kwa kujuana na kupendeleana ambapo katika mfumo huu anamkono mkubwa?

Kwanini anataka kutufanya vijana ni mtaji wake wa kisiasa?Mr White hair tumekushutukia na tunatangaza mgogoro wa kisiasa na wewe

Lowassa ur disaster to us acha kutughilibu mzee wangu, au tuingie barabarani kutaka mchukuliwe hatu kwa kuwa serikali ya mshikaji wako inakulinda?

Lowassa fuata ushauri wa Mzee Msekwa acha mbio za uraisi, acha kuvuruga utawala mbona ulipokuwepo hakuna jipya la maaana?

Mkuu hili suala siyo la kuangalia juu juu lipime kwa kina. Tuna raisi ambaye tetesi zinasema alisha wahi kusema kuwa hata acha nchi mikononi mwa mkristo na pia kuna mkutano wa vijana uliosema raisi wa sasa ndo peke yake anayejua raisi ajaye na kwamba hatatoka kaskazini kamwe!
Sasa Lowasa ndo alikuwa next in line baada ya raisi huyu wa sasa. Lowasa anatoka kaskazini na ni mkristo, inawezekana kabisa haya mambo ya richmond na dowans yalikuwa ni njama tu za kumzunguka lowasa ili achafuke na aondoke kwenye mstari wa uraisi, wahusika wenyewe wakuu ndo hao akina RA maraia wa iran. Inawezekana kabisa hapa Lowasa aliingia mkenge bila kujijua, aliwamini sana hao aliokuwa karibu nao. Wenyewe wanasema kwenye msaafu wao "War is deceit" Ukweli hauwezi kupatikana mpaka pale hii suala litakapopelekwa mahakamani. Kitu ambacho wajanja hawapo tayari, wanataka mambo ya kijiweni jiweni tu.
 
Napata shaka sana na mtu anavyosesema Lowassa alikuwa waziri kuu makini, me nadhani alikuwa hovyo kuliko wote katika historia yetu ila alijua kucheza na vyombo vya habari kuliko watawala wote katika nchii hii na kubadilisha muonekano wake na kufanywa ni shujaa.

Waziri mkuu gani aliyekuwa anafukuza watumishi wa umma majukwaani na kesho yake mtu anaendelea kuwepo ofisi?mfani mhandisi wa wilaya ya temeke mwaka 2007 baada ya kudondika ghorofa pale keko (National Hotel), mhandisi wa barabara kule kusini, baada ya matamko yake ya jukwaani na kushangiliwa sana na kusifiwa sana vidume waliendelea kuwepo ofisini kwa kuwa kuna tartibu za kumuondoa sio kulopoka kama anavyo ropoka mr white hair

Waziri mkuu gani nchi hii aliyewahi kuingilia michakato ya zabuni mbalimbali bila kificho na kuweka maslahi yake mbele tena hadharani

Waziri mkuu gani nchii hii anayeomba rushwa kwa wakandarasi bila soni wala haya na ukimtosa hakika utapata tabu sana katika utekelezaji wa shughuli zako

waziri mkuu hani ambaye jina lake lilivyopendekezwa tu Usalama wa taifa wakamshauri raisi amtose ila kwa uswahiba jamaa akambeba ila mabo yakamwendea kombo mbeleni
 
ed ccm hawakuwezi, wewe ni kama virus kwenye komputer aliyeshindikana, naona ccm wenyewe wameamua wakop na existing situation, lo! hilo kwetu raia wa kawaida haliwezekani, tunajua unanguvu sana ndani ya nec, ila si kwa raia,kama nia yako ni kuvuruga amani ya nchi hii poa, sisi maskini hatuna chakupoteza kwasababu tayari chetu ulisha tuzulum. kama unaweza basi gombea urais wa nec ya ccm, na makamu wako umuweke swahibawako RA.
 
huyu el asifanye watu hatuna akili yeye ndio chanzo umasikini tulio nao, katukwamisha na umeme wa richimond hadi sasa serikali ya mshikaji wake inataka kulipa malipo ya kifisadi!!!!!!!!!asidhani watu ni wajinga hatujui ufisadi wake, mtoto wake alikamatwa london na mahela kibao akinunua mahotel tena si moja kibao tuu leicester, trafagar square , kama si wizi anatueleza nini huyu????????fedha za kulipa richimond million 152 kila siku kwa muda wa miezi sita ziliingizwa mfuko gani????????? Nasikia ana acct huko uswizi zaidi ya usd$ 300 million amaezipata wapi?????????? Kuna wezi wanataka kuhalalisha wizi wao ktk uongozi wa ccm, mfukuzeni el ccm kama kweli mnajivua maghamba, tena apelekwe magereza akajibu mashitaka ya wizi kwa fedha za umma na kufilisi nchi ya tanzania period!!!!!!!!!!!

wewe fisi maji hiyo stor ya kumchafua fred lowasa si uliitengeneza wewe bernad membe kuptia raia mwema baada ya kuskia 2010 jk amempa lowasa wizara ya tamisemi mkaona atatengeneza mtandao wakat ameshautengneza kulko mlvyodhani baada ya kumpeleka rizmoko kenya ukampa dola 400,000/= ili amshawshi jk amtose lowasa na genge lako wewe mdimu ulisilimu kama malechela ili upewe nchi kama nyerere alvyomkataa malechela kwa kusilimu ili auze nchi uarabuni na sisi tunakukataa uanakula rushwa za mikataba ya wachna ya kuuza pembe za ndovu na madawa ya kulevya sio na pesa za ghadafi lowasa ana pesa toka babu yake si kama wewe kutoka mtwarwa ulfka dar na shati moja leo unamhonga rz1 dola 400,000/= sawa na milioni 640,000,000/= wewe maskin lowasa vodacom kwa sku anapata bilion 1.2 utashndana nae frauni wewe joka la mdmu hufai kuwa ata mwkt wa mtaa unajlambalamba unataka urais kwanza tunakupeleka icc the heague kujibu kesi ya kumjeruhi kbanda na kubenea cz ulitoa pesa kuwaumiza waandshi kisa et walkuwa upande wako wakakusaliti wakahamia kambi ya lowasa ukawaita maadui wawili waandishi si ungewaamisha nchi kulko kuwang'oa macho na kuwamwagia tindikali (icc itakuhusu subiri 2015) nchi utakmbia wewe si wanasiasa watano uliowataja na waandshi wawili(kubenea na kibanda) bashe alieleza ukweli kuwa umezoea kubebwa ata ubunge ulipewa na rostam na magar ya kampeni na pesa leo kutoka naibu wazr na uwazr wa asante mama salma unataka urais una kchaaaaaaaaaaaaaaa membe..sta nape na ccj yote hamfaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Tangaza mgogoro na mke wako kisha ba mkwe wako aliyechukua mahali kwa kukuhadaa kuwa hilo ndo jiko kamili. Sisi vijana unatuomba tutangaze mgogoro wa kisiasa kwa ufupi hatuna mgogoro na L. endelea kutumika kama zezeta na hao wafa maji.
 
WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM.
HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILO.

KWANINI MGOGORO WA KISIASA

1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA ANASEMA UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KILUPUKA NAOMBA ATUELEZE ALIVYOKUWA SERIKALINI ALIFANYA MKAKATI GANI KUKABALIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

2. YEYE NI M/KITI KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE NA ULINZI, JE AMEFANIKISHAJE KUWATAFUTIA VIJANA AJIRA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA NAFASI YAKE HIYO BUNGENI?AMEWASILISHA MKAKATI GANI KUTATUA TATIZO KAMA BADO HAJA FANIKISHA?

3. KULE MONDULI AMBAKO YEYE NI MBUNGE AMEWAFANYIA NINI VIJANA KUKABILIANA NA AJIRA AU ANATUJAZA CHUKI?

4. YEYE NI MNEC AMESHAURI NINI CHAMA CHAKE KINACHOUNDA SERIKALI NA KUTEKELEZA ILANI YAKE KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

*****LOWASSA NI MOJA YA CHIMBUKO KUU LA MATATIZO TULIYONAYO HUMU NCHINI, KILA UMEME UKIKATIKA LAZIMA TUMLAANI?hajui bei za vyakula, usafiri na mahitaji mengine yakipanda kwa ughali wa uzalishaji unaosababishwa na umeme tunamlaani yeye?

Kwanini anatumia advantage ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama silaha kubwa kila anapozungumza?hajui kuwa vijana tuna chuki nae kubwa kwa ushiriki wake wa kuajiri kwa kujuana na kupendeleana ambapo katika mfumo huu anamkono mkubwa?

Kwanini anataka kutufanya vijana ni mtaji wake wa kisiasa?Mr White hair tumekushutukia na tunatangaza mgogoro wa kisiasa na wewe

Lowassa ur disaster to us acha kutughilibu mzee wangu, au tuingie barabarani kutaka mchukuliwe hatu kwa kuwa serikali ya mshikaji wako inakulinda?

Lowassa fuata ushauri wa Mzee Msekwa acha mbio za uraisi, acha kuvuruga utawala mbona ulipokuwepo hakuna jipya la maaana?

maliza kwanza mgogoro alio nao mama yako na baba yako ule wamama kuzaa nje ya ndoa,halaf ndo uje utangaze mgogoro na lowassa
 
Mkuu huyu njemba nenda kanywe nae chai tu sisi tulio wengi hatumtaki aisee,kweli ana mazuri lakini mabaya yake yamezidi halafu tujaribu kutafakari kidogo nguvu yote hii ya kwenda Ikulu 'anaenda kufanya nini' ?

ma presdent 2015 -2025 is lowasa full stop ni kiongoz pekee imara na asiyeyumba aliyebaki katka nchi hii
 
wewe fisi maji hiyo stor ya kumchafua fred lowasa si uliitengeneza wewe bernad membe kuptia raia mwema baada ya kuskia 2010 jk amempa lowasa wizara ya tamisemi mkaona atatengeneza mtandao wakat ameshautengneza kulko mlvyodhani baada ya kumpeleka rizmoko kenya ukampa dola 400,000/= ili amshawshi jk amtose lowasa na genge lako wewe mdimu ulisilimu kama malechela ili upewe nchi kama nyerere alvyomkataa malechela kwa kusilimu ili auze nchi uarabuni na sisi tunakukataa uanakula rushwa za mikataba ya wachna ya kuuza pembe za ndovu na madawa ya kulevya sio na pesa za ghadafi lowasa ana pesa toka babu yake si kama wewe kutoka mtwarwa ulfka dar na shati moja leo unamhonga rz1 dola 400,000/= sawa na milioni 640,000,000/= wewe maskin lowasa vodacom kwa sku anapata bilion 1.2 utashndana nae frauni wewe joka la mdmu hufai kuwa ata mwkt wa mtaa unajlambalamba unataka urais kwanza tunakupeleka icc the heague kujibu kesi ya kumjeruhi kbanda na kubenea cz ulitoa pesa kuwaumiza waandshi kisa et walkuwa upande wako wakakusaliti wakahamia kambi ya lowasa ukawaita maadui wawili waandishi si ungewaamisha nchi kulko kuwang'oa macho na kuwamwagia tindikali (icc itakuhusu subiri 2015) nchi utakmbia wewe si wanasiasa watano uliowataja na waandshi wawili(kubenea na kibanda) bashe alieleza ukweli kuwa umezoea kubebwa ata ubunge ulipewa na rostam na magar ya kampeni na pesa leo kutoka naibu wazr na uwazr wa asante mama salma unataka urais una kchaaaaaaaaaaaaaaa membe..sta nape na ccj yote hamfaiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Acha matusi na majungu jenga hoja.
 
WADAU NALETA HOJA YA KUOMBA TUTANGAZE MGOGOR WA KISIASA NA EDWARD NGOYAI LOWASSA (MB) NA MNEC WA CCM.
HUYU NI MWANASIASA MWENYE NJOZI KUBWA YA KUWA RAISI WA JMT NA KUNA MADAI KUWA T.B JOSHUA WA NIGERIA AMESHAMTABITRIA HILO.

KWANINI MGOGORO WA KISIASA

1. KILA ANAPO PATA FURSA YA KUZUNGUMZA HUWA ANASEMA UKOSEFU WA AJIRA NI BOMU LINALOSUBIRI KILUPUKA NAOMBA ATUELEZE ALIVYOKUWA SERIKALINI ALIFANYA MKAKATI GANI KUKABALIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

2. YEYE NI M/KITI KAMATI YA BUNGE MAMBO YA NJE NA ULINZI, JE AMEFANIKISHAJE KUWATAFUTIA VIJANA AJIRA NDANI NA NJE KWA KUTUMIA NAFASI YAKE HIYO BUNGENI?AMEWASILISHA MKAKATI GANI KUTATUA TATIZO KAMA BADO HAJA FANIKISHA?

3. KULE MONDULI AMBAKO YEYE NI MBUNGE AMEWAFANYIA NINI VIJANA KUKABILIANA NA AJIRA AU ANATUJAZA CHUKI?

4. YEYE NI MNEC AMESHAURI NINI CHAMA CHAKE KINACHOUNDA SERIKALI NA KUTEKELEZA ILANI YAKE KUKABILIANA NA UKOSEFU WA AJIRA?

*****LOWASSA NI MOJA YA CHIMBUKO KUU LA MATATIZO TULIYONAYO HUMU NCHINI, KILA UMEME UKIKATIKA LAZIMA TUMLAANI?hajui bei za vyakula, usafiri na mahitaji mengine yakipanda kwa ughali wa uzalishaji unaosababishwa na umeme tunamlaani yeye?

Kwanini anatumia advantage ya ukosefu wa ajira kwa vijana kama silaha kubwa kila anapozungumza?hajui kuwa vijana tuna chuki nae kubwa kwa ushiriki wake wa kuajiri kwa kujuana na kupendeleana ambapo katika mfumo huu anamkono mkubwa?

Kwanini anataka kutufanya vijana ni mtaji wake wa kisiasa?Mr White hair tumekushutukia na tunatangaza mgogoro wa kisiasa na wewe

Lowassa ur disaster to us acha kutughilibu mzee wangu, au tuingie barabarani kutaka mchukuliwe hatu kwa kuwa serikali ya mshikaji wako inakulinda?

Lowassa fuata ushauri wa Mzee Msekwa acha mbio za uraisi, acha kuvuruga utawala mbona ulipokuwepo hakuna jipya la maaana?

Mijizi iliyokubuhu isiyokua na ajenda inataka ku-brainwash na kulaghai vijana.

Imefikia muda wa kumtolea uvivu sasa
 
Back
Top Bottom