Tutakuwa wabishi mpaka lini?

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Hatukatai kwamba hakuna asiye mkamilifu lakini hofu tu inaweza ikakuepusha kufanya jambo lisilopendeza. kuna mavazi mtu akiyavaa kama ni baa au club hata kama si la kimaadili unapoteza kutokana na mahali penyewe, lakini inakuaje mtu anavaa kihasara halafu anaenda nyumba ya ibada? nawasilisha.

 

Attachments

  • vivazi.jpg
    vivazi.jpg
    35.4 KB · Views: 85
Tanzania tu wastaarabu zaidi hiyo picha nadhani uganda
hata hivo msg sent wameshakusikia hapa JF.
 
Back
Top Bottom