tutakuja kuuana humu.

Tatizo haka kazee kanataka kumiliki mtoto mdogo....mbichi ( The secretary ) wakati vijana bado tupo.....kwanini atuzeeshee binti wadogo bure? Shixi889 mwache akauze ndizi Tandale sokoni ndo apate akili!

BTW Asprin naomba uje umkague Shixi889 haraka nahisi hajakaguliwa bado!
Safi sana kijana Erickb52. Inaelekea sasa umeshakua. Haya mwambie Shixi889 a-kam zis way kwa ukaguzi yakinifu..... Mwambie matunda nshanunua kazi kwake kunitengenezea juice kabla ya ukaguzi.

attachment.php

Afu mwambie kabisa, haya makitu yapo ya kutosha incase of anything.

attachment.php
 
Last edited by a moderator:

Hahahaaaa Asprin hapo Shixi889 hachomoki aisee lol
Ngoja nimwite
 
Last edited by a moderator:
Asprin nakuacha kwanza bila ban hadi umalize ukaguzi kwa Shixi889
Ukishindwa inakula kwako kabla ya saa moja jioni
Hebu fanya fasta mwambie bibie awahi kabla vijana hawajaniwahi. Join date yako inathibitisha bado yu bikta hapa.

Shixi889

Today 09:33
#27
MemberArray

Join Date : 1st June 2012
Posts : 46
Rep Power : 322
Likes Received16
Likes Given0

[h=2][/h]
 
Hebu fanya fasta mwambie bibie awahi kabla vijana hawajaniwahi. Join date yako inathibitisha bado yu bikra hapa.

Shixi889

Today 09:33
#27

MemberArray

Join Date : 1st June 2012
Posts : 46
Rep Power : 322
Likes Received16
Likes Given0

Heheheeeee ni kweli bado mpyaaaaa ngoja aje umkague then utanikabidhi kama anakidhi viwango
 
Safi sana kijana Erickb52. Inaelekea sasa umeshakua. Haya mwambie Shixi889 a-kam zis way kwa ukaguzi yakinifu..... Mwambie matunda nshanunua kazi kwake kunitengenezea juice kabla ya ukaguzi.

attachment.php

Afu mwambie kabisa, haya makitu yapo ya kutosha incase of anything.

attachment.php

Mhhhhh!!hayo matunda mbona mie nayaogoopa???ila hapo pa pili macho yamenitoka maana hata mtoto mchanga kwetu akiskia tu anaelekezewa hizo habari shurti ageuke kufuata huo uelekeo.
 
hahahahahaaa!!!!ukaguzi unatumia vigezo gani tena jamani?embu niwekeni wazi ili nijue tu msije kuchakachua maana...???
We tulia upewe ukaribisho kwa raha zako lol
Ukaguzi muhimu na ukikaguliwa lazma udate! Shixi889 nenda kwa Asprin akakukague ili tuweze kuendelea na mambo mengine chap
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom