tutakuja kuuana humu.

kumbe umenikabidhi kwa idhini yako kwa Erickb52 yakinishinda nitarudi
uliapa hutoweza kunikosea,
na uliapa mbele ya ndugu zako,
na hii thread uliyoiandika,
utanieleza nini The secretary wangu.
Hayo ni makusudi
wala sio bahati mbaya
ila wewe wataka kuniudhi.
Oh TS sipendi maudhi hayo
oh TS sipendi karaha hizo.
(source:mbaraka mwinshehe,song 'Tina').
 
Last edited by a moderator:
Majuto ya nini? Unamjua Madame B? Ni shemejio kwa ruttashobolwa. Ukimmendea mtauana na nduguyo.

epic-sexy-fail-back-rolls.jpg
Mungu wangu hii ndio asprin na bishanga mnapigania? na mmemuwekea picha bazazi mwingine akiona chinene hii lazima awake tuuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom