tutakuja kuuana humu.

Bishanga

JF-Expert Member
Jun 29, 2008
15,323
10,050
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.
 
Last edited by a moderator:
umemkamata nani ugoni tena...maana kwa jirani yangu kuna afisa wa sensa katokomea nyumba ya jirani hadi morning,alikua analiwazwa!
 
Hakika nasema iko siku mtu atamwagiwa uji wa moto humu jamvini. We fikiria mtoto wa kiume umejikunja,ukajinyima ukawekeza ,halafu jitu kama Erickb52 , Nyani Ngabu au Asprin linakuja linaparamia tu kisa eti kauza gunia mbili za bange yake tarime,nyie subirini tu iko siku ntavaa mabomu nijitoe mhanga,nimechoka,nasema nimechoooooooooka na ukware wenu.

When Young
1251840469_rihanna_1_lg.jpg

When Matured

PP30776-EU~Rihanna-Posters.jpg
rihanna-poolside-barbados-gall.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom