Tutafutane Dar...!

Basi mama wa moja ana kazi kweli kweli.mimi mbona mambo hayo nisingeweza kabisaaaa.nafikiri kwa wivu mimi naongoza,yani mtu anisaidie? thubutu yake na ndio maana na mimi huwa sitaki kuwasaidia wenzangu.
 
sasa kama mwanaume ana nguvu za ziada?
 
sasa kama mwanaume ana nguvu za ziada?

Nguvu za ziada za wapi hizo tena?
Nguvu ziko balanced bana kwa mwanadamu!...Labda kama anatumia Super-Shaft ndo atapata hizo uncontrolled-nguvu!
 
Kama mimi binafsi nguvu zangu nahisi zimezidi kiwango cha kawaida cha mwanadamu. Bisha na hili tena.
 
Narudia...Basi unatumia SUPER-SHAFT, dawa ya Kimasai!..Bisha!
Hakuna Sayansi inayoitwa Nguvu za ziada!
 
watu kibao tu wana nguvu za ziada!tumeona ndoa nyingi sana mwanamke anatumika hadi anamruhusu mumewe awe anatoka nje ili kumpa muda wa kupumzika!zipo nyingi tu hizo!BISHA NA HILI
 
The thing is, hizo nguvu za ziada kweli zipo...Ila ni zile zinazokuwa induced in one-way-another!

Hiyo ishu ya mke kumruhusu mume aoe mke mwingine, ni tabia mbaya tu za wanawake wengine, yani naturally ni wavivu wa tendo, yeye anaona kama vile ni so boring!

Na hilo Bisha!
 
Narudia...Basi unatumia SUPER-SHAFT, dawa ya Kimasai!..Bisha!
Hakuna Sayansi inayoitwa Nguvu za ziada!

Super shaft inatumiwa na wale ambao nguvu zao zimewapungukia. Sijawahi kupungukiwa. In fact kila siku zinaongezeka. Sayansi ina ukomo wake lakini Nguvu za Mungu hazina ukomo. Bisha tena hili.
 
The thing is, hizo nguvu za ziada kweli zipo...Ila ni zile zinazokuwa induced in one-way-another!

Hiyo ishu ya mke kumruhusu mume aoe mke mwingine, ni tabia mbaya tu za wanawake wengine, yani naturally ni wavivu wa tendo, yeye anaona kama vile ni so boring!

Na hilo Bisha!
na libisha sana tu!
kuna wanaume wanaiweza mikiki mikiki!

watu kibao wamechukua malaya wanaenda kuwachapa nao,demu anatoka nduki anasahau hata kudai chake!

kuna mshikaji mmoja ni noma alimpa shafti malaya,malaya hakudai chake sana sana akamwongeza na hela na akamwambia na kesh0 yake aende!na alimsifia wazi kwamba ni EXCEPTIONAL TALENTED PIMPER!

bisha na hilo
 
Geoff Usinambie umeharibiwa na Porno kiasi hicho...
Yale mnayoona kwenye zile picha ni toys babake, mtu analivaa kiunoni, kubwa kama mguu, mengine hadi 12" nyie mnadhani ni real-shaft!

Mtu anavaa lile na anapiga ishu hadi 3 hours, nyie mnadhani ishu

Those guys are business-oriented 100%...Check-out!

Bisha na hapo tena!
 
sijazungumzia moviez za ngono hata hivyo
 
jamani Mh rais ana tabia ya kuwaalika watu mbali mbali pale Ikulu. hata hasheem Thabit alialikwa. basi naye amealikwa kupata lunch na si mnavyofikiri.

kama angemtaka kwa nia nyingine si angetuma wapambe wake kwa siri na sote hapa tusingejua.

Tupunguze kumzushia rais
 
Back
Top Bottom