tutafika kweliiiiiiii?

engmtolera

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
5,150
1,437
images

images

images

angalia sasa Tanzanian Train
hehehehehehehehehehehehehehehehehe
images

images

haya fananisha na hiiiii chini
images

TUTAFIKA KWELIIIIIIIIIIII?
 
ni ndoto. Labda baada ya miaka 200 ijayo.

Ndoto huwa ni halisi,tunachoitaji na Nia na uthubutu.Uwezo tunao na rasilimali watu tunayo.Kwa aina ya resources just naturally tulizonazo tusinge lalamika hata.
 
Ndoto huwa ni halisi,tunachoitaji na Nia na uthubutu.Uwezo tunao na rasilimali watu tunayo.Kwa aina ya resources just naturally tulizonazo tusinge lalamika hata.
SINA imani na hawaviongozi na vizazi vyao kama kweli watatutoa hapa
images

images

na kutufikisha hapa
images

images
 
tunaweza kufika kama TUTABADILIKA MANENO KIDOGO MATENDO YAWE MENGI!
 
Usikate tamaa; wewe umefanya jitihada gani katika kuboresha mambo mbalimbali? Changamoto ni nyingi, hivyo tusibaki kulalamika. CHukua hatua
 
Usikate tamaa; wewe umefanya jitihada gani katika kuboresha mambo mbalimbali? Changamoto ni nyingi, hivyo tusibaki kulalamika. CHukua hatua
kaka unataka tufanye jitihada zipi? tuibe? kama kazi tunafanya sana, tunalima sana wapi pa kuuza mazao yetu? baadhi yanaozea shambani hata njia ya kusafilishia ngumu kwenu,tufanye nini mkuuuuuuu,tupe njia basi,haya kama haitoshi tumechaguwa viongozi shupavu basi watusaidie kama magufuri amekatishwa tamaaaaaaaa kabisa na wakulu wa nchi,sasa@ lymo tueleza nini tufanye kutoka
hapa
images

na kutufikisha hapa
images
 
Back
Top Bottom