Tutafakari kwa pamoja

KAUMZA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
699
237
"KATIKA SIASA HAKUNA RAFIKI WA KUDUMU WALA ADUI WA KUDUMU" Itakuwa vipi leo hii Dr Slaa, Mbowe na Tundu Lissu wakijiunga na CCM ilhali Edward Lowassa, Rostam Azizi na Makamba wakienda CDM? Yupo wapi Shibuda, Maalim Seif, Agostino Mrema, Marando, Tambwe Hiza,Dr Chegeni, Kabourou, Lamwai, Ngawaiya na wengi mnaowajua. TAFAKARI, CHUKUA HATUA.

NB: KAMWE USIMUAMINI MWANASIASA
 
Back
Top Bottom