tutaendelea kweli kama taasisi za serikali zinanunulia senior officer wake nyama za kitoweo?

bona

JF-Expert Member
Nov 6, 2009
3,798
1,435
mtanzania wa kawaida hawezi amini kua taasisi za serikali na wizara mbalimbali zinanunulia senior officers wake nyama za kitoweo nyumbani kama huamini fika pale duka la nyama la ranch ya kongwa karibu na clock tower, nilifika kutaka kupata nyama safi na kuchangia ranch kwani ni mali ya umma cha kushangaza wale tuliokua na cash watu binafsi tulikosa karibu 4 hours kila oda inayotoka ndani ni ya wizara au taasisi fulani ma senior officer wake wanapelekewa na dereva na gari za stj na su ndio zilikua zinabeba! hata nyama hawawezi nunua? tena ni ma senior staff likes of ministers etc
hata cjui kama kweli wanalipa au ndio kuiua kabisa iyo ranchi! its really unbelievable!
 
hahaaaaaaaa hiyo ndiyo bongo yaani kila kitu ni ufisadi tu

Wamesoma bwana na wamebahatisha kupata hvyo vyeo kwani weye inakuuma kipi?hvi ingekuwa weye unapata ofa kama hyo ungekataa ama ?acha ale ale mara ya mwisho na masuala ya tumbo tuyaweke kando kwanza tuweke miguvu na akili zetu ktk kuleta mabadiliko ya kweli kwa hao wanaotunyanyapaa with-in our land,we are tired jamani and time 4 change is now.
 
Waache wale bwana wanatumia muda mrefu sana kufikiria maendeleo ya nchi hii kwa hiyo ni halali yao.

Ila namkumbuka hamad rashid alisema hatuwezi kuwaachia nguruwe(ccm) wale peke yao bali.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom