Tutaandamana bila kibali cha Polisi ifikapo Jan 5 - Slaa

Huyu Slaa kashindwa uchaguzi sasa anataka watu wauwane.

Kinachouwa watu siyo maandamano wewe!! Kinachouwa watu ni mabomu ya machozi na bunduki za rashasha... ambazo Dr. na wafuasi wake hawana. Najua unafahamu fika wenye vitu hivyo ni wakinanani!!!!! You'll never kill our spirit this time!!! Paka kieleweke!!
 
KINA Dar es salaam wanashiba makombo ya kina makamba na kikwete ndo mana wanaita wengine wahuni.Slaa hakushindwa uchaguzi ila ndugu yako kikwete aliiba kura.Slaa daktari wa ukweli sana si huyu wa kupewa za bureee.PhD zake sasa zitumike kutatua matatizo ya umeme na kutengeneza mambo ya dharula ili washirika wapate pa kuchumia pesa.
 
Huu ni mwanzo wa matumaini kwa TZ ccm wanadharau sana na wanafikiri watz wa sasa bado vipofu. Chadema ni wakombozi, maana sijasikia tamko la vyama vingine juu ya hili. Au mnaiogopa CCM?.
 
wow,Tanzania kuna maandamano kweli au haya ndo yatakuwa ya kwanza?
maana umeme unapanda kipuuzi tu tunakenua meno kama mabwege vile,wenzetu msumbuji mkate tu ulipanda bei wakagoma!

Lets wait and see,ila hakuna chochote hapo
 
kwaa tz yetu hii, atachemsha tu muda si mrefu

Kwa nini atachemka mkuu?mbona waanza kujiweka kando?tambua Slaa peke yake hawezi kuleta mabadiliko tuyatakayo,sisi kama wananchi ndio tunaoweza kufanikisha,yeye na Chadema wanaanzisha na kuongoza,kama una mapenzi mema na nchi hii hupaswi kujiweka kando labda kama na wewe ni mmoja wa Mafisadi.be a great thinker.
 
When my invisible prezda speaks,I never add a word bt to follow!
 
Hili tamko tulilisubiri siku nyingi na kwa sasa hakuna atakesita tena wandugu naombeni watu waandamane wakiwa na personality ya hadhi yaani tuvae suti zetu ikiwezekana na vitambulisho maana wamezoea kusema wanaoandamana ni wahuni na waliokosa kazi kitu ambacho siyo kweli

Himahima! Shime watanzania tujitokeze kwa wingi kuunga mkono mabadiliko ya kweli.
 
wow,Tanzania kuna maandamano kweli au haya ndo yatakuwa ya kwanza?
maana umeme unapanda kipuuzi tu tunakenua meno kama mabwege vile,wenzetu msumbuji mkate tu ulipanda bei wakagoma!

Lets wait and see,ila hakuna chochote hapo
Maandamano haya si ya kudai umeme ni kuhusu chaguzi za mameya
 
Geniusbrain and dar es salaam equals Malaria sugu.

Mnakiwa kuwa fair pale kwenye ukweli na uwazi sio kupinga tu ili mradi uonekane umeweka post.

Wananchi wengi wanapata taabu na haijalishi wewe unatoka chama gani. Juzi juzi tu tumetangaziwa na waziri mhusika no more mgawo wa umeme,lakini kinyume chake mgawo wa umeme umeanza upya.

Behave as grown-ups.
 
Kweli Slaa umeshikwa pabaya, na haya unayotaka kuanzisha hatuafikiani nayo, dola ikiwafanya vibaya sie hatumo, kwani huko ni kuichokoza dola kwa makusudi kabisa.

Ungemuuliza P.W Botha anafikiri nini juu ya Mandela mwaka 1980s angenukuu unavyosema Bw GeniusBrain. Lakini ukimwuliza Slaa yeye anamnukuu Mandela "During my lifetime I have dedicated myself to the struggle of the African people. I have fought against white domination, and I have fought against black domination. I have cherished the ideal of a democratic and free society in which all persons live together in harmony and with equal opportunities. It is an ideal which I hope to live for and to achieve. But if needs be, it is an ideal for which I am prepared to die." Hii ndiyo tofauti kati yako na Slaa na wapenda nchi wote.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom