Tusker sijui serengeti acheni utani....

Crucifix

JF-Expert Member
Feb 20, 2011
1,651
588
mmeweka promosheni na shindano, sasa namba chini ya kizibo hazisomeki vizuri na mnajua haya sio maji. leo vizibo vyote naambiwa nimekosea namba, hata kama nimemulika na katochi kangu ka simu. huu utani wenu sio mzuri ati....andikeni namba kubwa kubwa sie tyhd nhgiuy zawssdudi tu tena za kjgtuyi tumma........
 
Mkuu bila shaka umeuandika huu uzi wakati tayari ushastua mbili tatu!!
 
ha ha ha haa kweli bhana mi huwa naangalia bia ya bure tu, kama hamina natupa kizibo!

duh kumbe tuko wengi. Ila si uongo, kuna siku nilikosa castle nikajaribu Tusker so nikaona hii habari kwa mara ya kwanza. Nilikata kiu halafu niliingiza namba nikaambiwa nimeshinda 10,000/= na kweli kesho yake nikapokea 10,000 kwa Mpesa toka SBL. Sasa nikahama kwa muda nikitegemea kupata tena wapi! Ile 10,000 imeshapiiliza kila siku naambia nimeingizwa kwenye droo......ila huu uhuni wa vinamba vidogo ndio unanikosesha kwa sababu naamini nina bahati.....
 
jamaa wameniboa sana safari hii. kwanza shindano lenyewe lilikuwa ni kama la wakazi wa Dar pekee. imechukua zaidi ya mwezi vizibo hivyo vya prpmotion kufika.
 
Back
Top Bottom