Tusker project fame 2nd chance!! Watz nani mkali?? Msechu au Hemedi??

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
achilia mbali wasani wa nchi zingine wanaotisha kama Nganga, kwa Tz hawa majamaa wawili nani ni mkali zaidi kwa mtazamo wako?

Mi namuweka Peter Msechu.
 
i go for Hemed!anarelax katika mic,ana sauti ya pekee hata ukimsikia bila kumjuona unajua huyu hemed na juu yote ana muonekano falani wa kuuzika!wakali wanaita star look.....
 
Msechu anatisha kiukweli,ana vocal nzuri sana na anaweza kuamsha mashabiki.hemed anaweza kuigiza tu ndo fani yake.
 
Ingekuwa ni kura za atoke ningemwambia IAN apige kura ya turufu amtoe HEMED.. kama mliangalia sunday kuna mdada aalisema "Not all MUSICIAN are singers" Hemed ni sharobalo tu hana lolote.. AIBU nyingine kwa TZ...(Umeme, Jairo+UDA+Mafuta+3 Tillioni+Hemed)
 
<br />
<br />
HIYO HESABU HAPO CHINI NIMEIPENDA.YULE JUNK HEMEDI SIYO ISHU YA KWENDA KUTUTANGAZA MAHALI! ZAIDI ANATUAIBISHA TU!
 
hemed suleiman ndo nembo ya tusker project fame!.....mkali mwenye sauti ya kipekee,,mtunzi,mwenye muonekano wa kimusic,asiye na papara katika mic,anayejiamini ,wakenya kwa jeuri yao lakini kuna matatu zilizokuwa na jina lake na picha ya mkali huyu!kwa taarifa tu msechu alitoa nyimbo baada ya hemed lakini nyimbo ya hemed ndo iliweza kufanya vizuri!.................P.H.D...............chapa ilale!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom