Tusiwe wanafiki kwa wabunge wetu kwa mambo ya kufikiria na kupata majibu.

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,819
1,454
Inaonyecha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo wavivu wa kifikiri, hasa pale tunapo tuma posti hapa jf kwa lengo la kumchafua mbunge mmoja na kuwaacha wengine.ni kweli leo Nassari hakufika bungeni pamoja na mwenzake wa ccm,lakini tunamlam Nassari pekee na kumwacha mwenzake,na si hao tu leo bungeni palipwaya sana kwa wabunge wengi kutofika,lakini watanzania tumetanguliza lawama na itikadi mbele bila kujiuliza sababu za wao kutofika.
Tujirekebishe tabia hi ni chafu na haifai.
LEO TAIFA LINAMSIBA NA WABUNGE KARIBU WOTE WAMEELEKEA HUKO.

UTU KWANZA MASLAHI BAADAE

PUMZIKA KWA AMANI KAMANDA KANUMBA WENGI TUTAKUKUMBIKA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom