Tusiwe wachoyo wa fadhila

wiseboy

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,931
3,299
jaman pamoja na kuomba ushauri humu...JF imekuwa ni burudisho, elemisho, hamasisho, huzunisho, n.k...lakini hatujawah jitokeza na kukili wazi ni topic au thread imewah kukusaidi hapa jf.....nianze mimi 1. imenisaidia kujua kiundani vita ya kagera japo sikuwepo 2.nimejua migogoro mingi inayohusu mapenzi na utatuzi wake.....ENDELEENI.
 
Back
Top Bottom