Munru
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 1,340
- 664
kila mtu anahaki ya kugoma na kuandamana.
Madaktari mmetisha. Ila anaeumia ni sisi maskini.
kimsingi Madaktar wapo sahihi kwani serikali imeonyesha kutokujali makubaliano.
Nadhani umefika wakat wa sis wananch kudai haki yetu.
Tunahaki ya kupewa huduma za afya. Kwan tunatoa kodi.
Huduma za afya hatutadai kwa madaktar kwani wao hawapokei kodi zetu.

Wananchi muda umefika tuamke . Tupigane haki ya msingi.
tutaendelea kuzulumiwa mpaka lini watanzania wenzangu ??