Tusiwalaumu polisi hawa ni maroboti alaumiwe amiri jeshi mkuu.

augustino ameri

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
267
57
Hawa FFU ni maroboti hebu waangalie wakiwa kwenye defender na mavazi yao jinsi unavyo waona ndivyo walivyo.Hata ukiwambia wasukume mlima wanaenda kusukuma tena hata ukiwaambia wameze mabou mengine wananameza hawana muda wa kufikiri.Hawatakiwi KUSOMA sana hawa wataelevuka na kugoma kutii amri ya mkuu waache hivyohivyo wawe maroboti.Tena walipe mishahara midogo wasinenepe wakakashindwa kufanya kazi?wapewe pombeZA BEI YA CHINI walewe ILI WAKOSE MUDA WA KUFIKIRI KWA MAKINI.
 
swali na jibu umeshatoa, akiambiwa hata amkamate Baba yao atamkamata
 
Hawa FFU ni
maroboti hebu waangalie wakiwa kwenye defender na mavazi yao jinsi
unavyo waona ndivyo walivyo.Hata ukiwambia wasukume mlima wanaenda
kusukuma tena hata ukiwaambia wameze mabou mengine wananameza hawana
muda wa kufikiri.Hawatakiwi KUSOMA sana hawa wataelevuka na kugoma kutii
amri ya mkuu waache hivyohivyo wawe maroboti.Tena walipe mishahara
midogo wasinenepe wakakashindwa kufanya kazi?wapewe pombeZA BEI YA CHINI
walewe ILI WAKOSE MUDA WA KUFIKIRI KWA MAKINI.

M2 wang ulipocema amir jesh mkuu umenikumbusha msanii m1
Amiri jesh mkuu crazy Gk ndani ya kikosi chake. Dah! long time
 
Back
Top Bottom