Injinia
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 849
- 26
Bila kuwasahau Kweisi Mfume, Haki R. Madhubuti, Talib Kweli n.k
Hata wasio na asili ya Afrika kama Richard Mabala
Bila kuwasahau Kweisi Mfume, Haki R. Madhubuti, Talib Kweli n.k
Hata wasio na asili ya Afrika kama Richard Mabala
watoto wangu wote wana majina ya asili na la ubatizo... sitaacha kutumia majina ya asili!
bongo kuna sharlene, Sharon, alvin, beyonce, madeleine, etc... sasa sikiliza watoto wenzao wanavyoyatamka, ni kituko!!!
No Mabala hii thread si yake maana yeye katupa jina la ukoo wake, hii thread ni ya kutotupa majina ya ukoo/ asili ya mtu.
Mh lakini kuna majina mengine ya ukoo kuyatamka tu inabidi uende tuition akaaa mie nabaki na hili hili langu la Sharleen Davis mpaka mwisho.
Hakika waafrika wengi hawapendi tena kuyatumia majina haya kwa kuiga uzungu. na wale wanayoyatumia sasa wamebadili namna ya kuyatamka au kuyaandika: yanatamkwa kizungu na kuandikwa kizungu. Yaani tumekwisha kabisa.
Kwa nini hatujali chetu sisi wabongo?? Mbona majina yetu ni mazuri sana na tena yana maana nzuri tu? Nakumbuka miaka ya huko nyuma nilisoma na jamaa yangu mmoja kutoka Cuba (mweusi) alikuwa anatamani sana kuwa na jina la pili (la ubini) kama langu kwani yeye jina lake lilikuwa lina-sound kizungu. Yaani kila wakati alikuwa anataka awe na jina la kibantu. Nikamwambia akirudi kwao afanye process ya kubadili jina. Na nikampendekezea aitwe Kalumanzila. Alifanikwa! Mpaka ninapoandika hivi huyo jamaa anitwa (jina la pili) Kalumanzila. Ana furaha tele kujitambulisha kama mwafrika.
Sasa kuna wengine hawataki kabisaaaa kusikia wakiitwa majina yao ya utoo......... YALE YALE YA NYAGEMA ANATAKA AITWE 2PACNaomba nitoe kero langu ...
Hivi inakuaje wabongo wengi sikuizi wameacha kutumia majina yao ya ukoo (kibantu)? Labda nakosea, lakini nilivyoku primary miaka ya sabini, sikumbuki wabantu kujiita John Lucas, Peter Alfred, Maria Moses n.k. Hapa pia nawakosoa hata wale wabantu wanao jiita "Amina Abdallah" au "Jabir Mohammed".
Sawa unaweza kuwa mkristo au muislamu, lakini jina laukoo lakibantu kwanini ulitupe??
I may be too much of an African fundamentalist, but I think jina la ukoo (au la kikabila, au la familia) lina make a strong connection to where you come from - your history, your culture, your people,etc. Unless I see you face-to-face, I think if you tell me your name is "Beatrice William", I will automatically assume your European! Sorry, but I have yet to meet a white European with a name similar to kinjekitile or Mwamseka
What are we becoming? Yes, we should take from other cultures that which will help us better ourselves, but lets not dwell on those attributes that will disconnect us from our land. Remember our ancestors (and especially here in East Africa) worked this land for centuries
Asante
kwanini kaka?Mimi ni mmoja wapo nita muincourage mwanangu asitumie kabisa majina ya ukoo.
Kweli kabisaaaaaaaa................ kitu NGALIKIHINJA bwana .....full kibantuMwanzisha mada amegonga panapotakikana. Ulimbukeni huu upo hapa hapa JF, achilia mbali huko shuleni na kna kazini. Angeanzia kurusha madongo hapa JF, maana hapa napo wamejaa wazungu kibao!
Utakuta kuna majina kama
Babylon
First Lady,
Lily Flower,
Invincible
Field Marshal
PlanckScale
n.k.
Kwa nini msitumie majina ya ubin kama Idimi, Mwanakijiji, Mkandala, Nyamayao. Nguli, Kiranga, Nzalalila, Mwakisu, Rwegoshora n.k
ni kweli mkuu!majina kamaMwanzisha mada amegonga panapotakikana. Ulimbukeni huu upo hapa hapa JF, achilia mbali huko shuleni na kna kazini. Angeanzia kurusha madongo hapa JF, maana hapa napo wamejaa wazungu kibao!
Utakuta kuna majina kama
Babylon
First Lady,
Lily Flower,
Invincible
Field Marshal
PlanckScale
n.k.
Kwa nini msitumie majina ya ubin kama Idimi, Mwanakijiji, Mkandala, Nyamayao. Nguli, Kiranga, Nzalalila, Mwakisu, Rwegoshora n.k
Thijakuelewa.........yaani unasapoti halafu jina lako LINAPINGA.........!!!!????ni kweli mkuu!majina kama
MGOLOLA FINYONGE
CHAMVANGA
MWAKYUSA
KITUTILE
MBOMBO NGAFU
I FIINGI FI DSUMBAGE
CHANIKA
UU LUKALIKALI LWA NNJWAA
IDENYIMEMBE
MAKISHEKE
UTUDAHO
haya ndo majina yetu na mila zetu zitaendelea kudumu kama tutakuwa na majina haya
Thijakuelewa...............yaani mpaka utukonvisi ndo tuone kuwa username yako ni ya kibantu.......???!!! Inatakiwa liwe linajieleza lenyewe............yaaani mpaka ulikate ulimege na kulidismento ndo lionekane la kibantu............ hebu cheki kitu hili CHIMUNGURURU............ yaani chenyewe kinasema huna haja ya kusidismento wala kua-n'disimentoI stated the initial post that it is a good thing to embraces those ideas from other cultures that can enhance our living standards. I believe the adoption of scientific worldview will have a positive impact on our social-living standard. My use of planckscale is a reflection of this view point.
The "Scale" in Planck-scale defines specific time [age], size, and the energy of the universe, just after the beginning of our universe's existence. According to modern physics, it is the time after which, the fundamental force [law] that characterized our earlier universe fragmented into the four fundamental forces (gravity, electromagnetic, strong force, and the weak force) that we are experiencing to day.
The "Planck" in the Planck-Scale, signifies one of the most fundamental constant of nature...and takes its fundamental value at the Planck-Scale Era, as it relates to the energy/wavelength and size of the fundamental particle of the radiation energy - the photon.
The achievement in the understanding of the Planck-Scale era is indeed one of the greatest human intellectual ability.
Sorry for being off-topic, but umenikuna...
Majina yangu ya ukweli hayana element zozote za kiarabu, kizungu, wala kiyahudi....
No Mabala hii thread si yake maana yeye katupa jina la ukoo wake, hii thread ni ya kutotupa majina ya ukoo/ asili ya mtu.
Naomba nitoe kero langu ...
Hivi inakuaje wabongo wengi sikuizi wameacha kutumia majina yao ya ukoo (kibantu)? Labda nakosea, lakini nilivyoku primary miaka ya sabini, sikumbuki wabantu kujiita "John Lucas", "Peter Alfred", "Maria Moses" n.k. Hapa pia nawakosoa hata wale wabantu wanao jiita "Amina Abdallah" au "Jabir Mohammed".
Sawa unaweza kuwa mkristo au muislamu, lakini jina laukoo lakibantu kwanini ulitupe??
I may be too much of an "African fundamentalist, but I think jina la ukoo (au la kikabila, au la familia) lina make a strong connection to where you come from - your history, your culture, your people,etc. Unless I see you face-to-face, I think if you tell me your name is "Beatrice William", I will automatically assume your European! Sorry, but I have yet to meet a white European with a name similar to kinjekitile or Mwamseka…
What are we becoming? Yes, we should take from other cultures that which will help us better ourselves, but let's not dwell on those attributes that will disconnect us from our land. Remember our ancestors (and especially here in East Africa) worked this land for centuries…
Asante
duhh sasa nikuulize swali hawa watoto wa metro utawafanyaje. Kizazi kipya cha mchanganyiko wa makabila babu morogoro bibi mbeya baba morogoro (ndio kwetu huko) mama mozambique, baba dar es salaam lakini kwanza bibi na babu ni dar es salaam na kigoma duuh na ndugu zangu waluguru majina wanasola kwa wajomba zao ha ha ha ha we usiseme lakini hii inajadilika nikiumuita mwanang mwajabu mbona watu wanachemka, majina ya uswahilini. Nikienda kumwita mwanagu mwamba (tafsiri ya Petro) jamaa hawambatizi duhh na mimi mkristo he he he yaani hii inajadilika kwelikweli lakini tunahitaji watu wa saikolojia na sosholojia wanaoujua mbele na nyuma, mtandawazi na utandawazi na kisha homa ya majina ya wachezaji wa ligi ya kiingereza teh tehe na tena homa ya kizazi kipya majina yasiyotamkika peng peng duhh hii inajadilika halafu tamu kwelikweliNaomba nitoe kero langu ...