Tusitupe Majina Ya Ukoo

Nilisoma na mtoto wa kigogo mmoja jina lake la kwanza ni "Mpilingondo" sitataja jina la baba yake wala la ukoo. Alikuwa akiyatumia yote matatu. Na wala hakuna aliemuuliza au kudai anajaza mstari kwa jina lake.

Tulikuwa tunamcheka tena tukamtungia wimbo, lakini sasa hivi naona umuhimu wake.
 
... Nikamwambia akirudi kwao afanye process ya kubadili jina. Na nikampendekezea aitwe Kalumanzila. Alifanikwa! Mpaka ninapoandika hivi huyo jamaa anitwa (jina la pili) Kalumanzila. Ana furaha tele kujitambulisha kama mwafrika.

Hiyo story imeninyaka kishenzi!
 
Be proud of your African name. It is what makes identifies you as an African and not an African American or any other race. Kama mtu atakubaguwa kwa sababu ya kabila lako hadi kukosa kazi au kupandishwa cheo then yeye hafai kuwa kiongozi in the first place. What has your tribe or surname got with your ability to perform or leadership? Watu wengine bwana! Halafu wakigeuziwa kibao wanasema wameonewa wakati they never did anything to stop the mentality while they had a chance. Ngoja itakapowatokea their kids ndio wataelewa.
 
PlanckScale UNGEANZA NA JINA BANDIA LA KIBANTU UNGEELEWEKA VIZURI ZAIDI.

Nimekusoma, mkuu!
Ila naomba unielewe kwamba planckscale is more than just a username; It is an expression of my understanding of the physical world - a scientific worldview, if I may say. Also, I openly stated on my initial post that it is a good thing to embraces those ideas from other culture that can enhance our living standards. I believe the adoption of scientific world view into our social-economic viepoint is not only a good thing, it is what we need to do. And hence, planckscale is a reflection of that worlview.

Majina yangu ya ukweli hayana element zozote za kiarabu, kizungu, wala kiyahudi...;).
 
Mazee we acha tu,

Kuna kina Shaniqua huku wanaishia kujitungia tu majina ya ajabu ajabu, wanataka kujua majina ya asili zao lakini hawajui hata pa kuanzia.

Sie tunaenda na uzungukoko.

Mie usawa huu naona vizazi vijavyo hata haya majina ya kwanza kuwa ya kizungu/ kiarabu ni utumwa.

Uliona wazungu/ Wayahudi wangapi wana majina ya kiafrika? Hata majina ya kwanza?

Uswa huu mwendo wa Tuntemeke Sangana Andondosifye Mwangoswile tu.

Mpaka watangazaji wa habari wao nao wapate kigugumizi kuyataja majina yetu kama sie tunavyoblow Medvedev na Ahmadinejad.
 
Jina ni jina tu na hakuna ubaya mtu kuitwa Shaniqua au LaKenya. Cha muhimu ni content ya character ya mtu na si jina.
 
watoto wangu wote wana majina ya asili na la ubatizo... sitaacha kutumia majina ya asili!

bongo kuna sharlene, Sharon, alvin, beyonce, madeleine, etc... sasa sikiliza watoto wenzao wanavyoyatamka, ni kituko!!!
 
Ungetakiwa kuwa mfano hata kwa ID yako. Ningekusapoti ila unataka kuwa kibao kuelekeza wenzako tu
 
Mimi ni mmoja wapo nita muincourage mwanangu asitumie kabisa majina ya ukoo.

How so-not-interesting it would have been if the US president had a Kenyan name that sounded like "William Johnson", instead of Barack Obama!
 
naweza kuona jinsi 'wazungu' walivyofanikiwa. Pamoja na mabaya aliyofanya Mobutu, kwenye suala la majina nilimpenda na kwa kweli anastahili kukumbukwa!
 
Ungetakiwa kuwa mfano hata kwa ID yako. Ningekusapoti ila unataka kuwa kibao kuelekeza wenzako tu

I stated the initial post that it is a good thing to embraces those ideas from other cultures that can enhance our living standards. I believe the adoption of scientific worldview will have a positive impact on our social-living standard. My use of planckscale is a reflection of this view point.

The "Scale" in Planck-scale defines specific time [age], size, and the energy of the universe, just after the beginning of our universe's existence. According to modern physics, it is the time after which, the fundamental force [law] that characterized our earlier universe fragmented into the four fundamental forces (gravity, electromagnetic, strong force, and the weak force) that we are experiencing to day.

The "Planck" in the Planck-Scale, signifies one of the most fundamental constant of nature...and takes its fundamental value at the Planck-Scale Era, as it relates to the energy/wavelength and size of the fundamental particle of the radiation energy - the photon.

The achievement in the understanding of the Planck-Scale era is indeed one of the greatest human intellectual ability.

Sorry for being off-topic, but umenikuna...
Majina yangu ya ukweli hayana element zozote za kiarabu, kizungu, wala kiyahudi...;).
 
.....Hivyo kuna umuhimu wowote wa kutumia jina la ukoo? Mie naona jina ni jina tu ilimradi linakutambulisha katika jamii.
 
Ni vizuri kutumia majina haya ya ukoo/asili kwani yana kutambulisha.Kuna watu ambao asili yao ni Africa wanayatamani haya majina ,mfano Prof Maulana Kalenga & Jumbe Hodari.
 
Ni vizuri kutumia majina haya ya ukoo/asili kwani yana kutambulisha.Kuna watu ambao asili yao ni Africa wanayatamani haya majina ,mfano Prof Maulana Kalenga & Jumbe Hodari.

Bila kuwasahau Kweisi Mfume, Haki R. Madhubuti, Talib Kweli n.k
 
Vipi Mkuu Unamlaumu Dobi wakati kaniki ndio rangi yake?ikiwa leo nchi inalikana jina lake seuze wananchi wake wafanye nini .kama nao si kukana majina ya Koo zao .
 
Back
Top Bottom