Tusitetee madokta tu bila kuchukua hatua sisi ndio tutakufa

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua sisi maskini ndio tutakufa kwa kukosa huduma hasa kama serikali itapuuza madai yao.sasa hali ilipofikia ni pabaya baada ya waziri mkuu kuwaamrisha warudi kazini.nadhani inabidi tufanye kitu ili wajue tunahitaji huduma bora na wala si madaktari kwenda tu kusign tu mahudhurio
 
I think PM decision is going to create more negative effect kwa wananchi kwani hawatapata huduma yoyote
 
anafikiri tukirudi tutatibu kwa ufanisi??anafikiri ntajitoa asilimia 100 kuokoa maisha ya mgonjwa???
 
Big up mkuu, umeongea point kubwa!
Wana jf nimekuwa nikifuatilia kwa makini hali inavyoenda na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi wenzangu,asilimia kubwa wakitetea madaktari kuhusu madai yao,ila moja tu la msingi nililogundua sisi maskini ndio tutakufa kwa kukosa huduma hasa kama serikali itapuuza madai yao.sasa hali ilipofikia ni pabaya baada ya waziri mkuu kuwaamrisha warudi kazini.nadhani inabidi tufanye kitu ili wajue tunahitaji huduma bora na wala si madaktari kwenda tu kusign tu mahudhurio
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom