CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,920
CCM itaendelea kukaa madaralkani kwa KULAZIMISHA ushindi mpaka ITAKAPOSHINDWA kulazimisha USHINDI
Chadema wakichukua nchi mfuko wa Saruji utauzwa Sh500 "Dr. W. Slaa"
huo unoko utaacha lini muwe mnawasikiliza jamani japo hamuwapendi. Alisema tsh 5000 siyo tsh 5oo. Fikiria kama angepita bibi yako angeishi kwenye nyumba ya makuti?
umaskini wa fikra ni umaskini mkubwa kuliko aina yoyote ya umaskini, ni bora ukose elimu ,pesa n.k kuliko uwe maskini wa fikra........tafakari.
Chadema wakichukua nchi mfuko wa Saruji utauzwa Sh500 "Dr. W. Slaa"
Wananchi hawategemei Chama fulani kiwaletee mabadiliko, mabadiliko yataletwa na wananchi wenyewe kupitia sera za kundi/chama fulani, hivyo mtazamo wowote dhidi ya Chama tawala katika suala la maendeleo ni tafsiri ya wananchi kuhusu chama husika kushindwa kusimamia, kodi, maadili na umoja wa kijamii.basi tusitegemee makubwa ndani ya uongozi wao.
NAYASEMA HAYA MAPEMA ILI YAFANYIWE KAZI.
'fikra huru kwa Taifa langu' Ukihisi hisia za hasira, kuhusu ukweli huu basi pita tuu.
Chadema wakichukua nchi mfuko wa Saruji utauzwa Sh500 "Dr. W. Slaa"