Tusitegemee jipya kutoka NEC ya CCM Dodoma

Imany John

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
2,930
1,165
Habari wanajamii,
Nimeona ni vizuri kuwajulisha moja ya kauli zilizotawala ndani ya midomo ya wanakamati ya kamati kuu ya ccm,
Wanamsemo unaosema "HATUKUJA DODOMA KUFUKUZANA"
Ndugu zangu kwa kauli kama izo kuna matumaini yoyote ya kusema gamba limeishia kwenye kichwa? Au gamba limekataa kuvuka?
Kwa kauli kama hiyo tusitarajie jipya kutoka dodoma.
 
tatizo lako unataka kuisemea ccm subiri wao waamue utapata majibu sahihi ya kujadili uamuzi wao
 
usikisemee chama ambacho wewe sio mfuasi wake ni lazima utatoa mtazamo wenye upendeleo, mtazamo wenye ubaguzi.
 
CCM wanasema hawakwenda kufukuzana dodoma wewe unasema kwa nini hawafukuzana kumbe ulikuwa na jibu tayari.
 
Habari wanajamii,
Nimeona ni vizuri kuwajulisha moja ya kauli zilizotawala ndani ya midomo ya wanakamati ya kamati kuu ya ccm,
Wanamsemo unaosema "HATUKUJA DODOMA KUFUKUZANA"
Ndugu zangu kwa kauli kama izo kuna matumaini yoyote ya kusema gamba limeishia kwenye kichwa? Au gamba limekataa kuvuka?
Kwa kauli kama hiyo tusitarajie jipya kutoka dodoma.
wewe ulitegemea jipya lipi
 
Chama cha kinafiki,hakiwezi kuwanyoshea kidole wanafiki wenzao,chama cha mafisadi hakiwezi kuwafukuza mafisadi wenzao,chama cha watu wachafu wa kiamaadili hakiwezi kuwafukuza wachafu wenzao,chama cha dhuluma hakiwezi kuwafukuza dhulumati wenzao,magamba kwa magamba nani atamwambia mwenzie wewe ni ngozi?jamani tusitarajie jipya kwa manufaa ya wananchi wote bila kujali itikadi za chama.hapo ni fisi kwa fisi wanagombea minofu ya nchi ya Tanzania ,hali itakuwa nzuri kama Tanzania ikibaki mifupa tena mifupa chakavu ndio wanaweza wasigombee.mvutano ulioko huko Dodoma ni kwa ajili ya masilahi yao viongozi vijana kwa wazee na wale ambao walishavuna.Hkuna kilicho cha kweli kinaweza kutoka kwa chama cha magamba.Ushauri ni NGUVU YA UMMA PEKEE INAWEZA KULINUSURU TAIFA HILI.
 
fisi na mizoga ndio kazi yake.
shangila siku ukiona fisi anabeba mizoga anakuambia anaenda kuitupa.
 
Chama cha kinafiki,hakiwezi kuwanyoshea kidole wanafiki wenzao,chama cha mafisadi hakiwezi kuwafukuza mafisadi wenzao,chama cha watu wachafu wa kiamaadili hakiwezi kuwafukuza wachafu wenzao,chama cha dhuluma hakiwezi kuwafukuza dhulumati wenzao,magamba kwa magamba nani atamwambia mwenzie wewe ni ngozi?jamani tusitarajie jipya kwa manufaa ya wananchi wote bila kujali itikadi za chama.hapo ni fisi kwa fisi wanagombea minofu ya nchi ya Tanzania ,hali itakuwa nzuri kama Tanzania ikibaki mifupa tena mifupa chakavu ndio wanaweza wasigombee.mvutano ulioko huko Dodoma ni kwa ajili ya masilahi yao viongozi vijana kwa wazee na wale ambao walishavuna.Hkuna kilicho cha kweli kinaweza kutoka kwa chama cha magamba.Ushauri ni NGUVU YA UMMA PEKEE INAWEZA KULINUSURU TAIFA HILI.

Umenena vema.
 
Wengine tulishajua mapema hata kabla hawajaenda Dodoma kwamba hakutakuwa lolote jipya hasa ukizingatia kuwa mwenyekiti ni yule yule kinara wa mafisadi.
 
Back
Top Bottom