REMSA
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,579
- 947
ilishapita mkuu...
"Mungu tuhurumie watanzania,tutendee Muujiza hili lisheria la kutukandamiza libadilishwe kwa muujiza"
ilishapita mkuu...
Mi nilichoka tu nilipoambiwa kwamba ukiacha kazi leo huku akiba yako ni milioni 2 na una miaka 30, utalipwa milioni 2 ile ile wakati una miaka 50 (20 years later). Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana na nimeamini wabunge WOTE ni wanafiki tu
Kwa kuwa wawakilishi wetu fibuka, tucta, tamico , trawu, chodawu, talgwu na wengine wamesaliti wafanyakazi wote wa nchii kwa kitendo chao cha kukukabali sheria dhalimu ya kupoka mafao ya wafanyakazi na kuyahonga kwa serikali, basi naomba wafanyakazi wote tujitoe kwenye vyama vyetu. Vyama hivi vinaishi kwa michango yetu na kwa hili la sasa la kuzuia mafao ni kwamba wamehonga mafao yetu ccm na ikulu.

Kuwawajibisha kwa usaliti huu, kuanzia mwezi wa nane makao makkuu ya vyama vya wafanyakazi nilivyovitaja wasipate tena michango toka matawini mpaka rushwa waliyo kula ili watusaliti iwatokee puani au la wawaendee bwana zao warekebishe sheria hiyo.
Jinsi ya kuwanyima michango: Wafanyakazi wote mahala pa kazi yaani tawini, pitisheni azimio kwa saini kwenye form kisha mzipeleke finance department kwamba hamtaki makato yenu yaende makao makuu ya chama chenu tena.
Wakirekebisha usaliti huu, ndipo muwafungulie mfereji wa michango yenu. Haiwezekani watu wawe wanalipwa kufanya usaliti. Yuda alilipwa kwa usaliti akaambilia kifo kwa kujinyonga. Nicholaus mgaya na wengine tuwanyonge kwa kuwanyima michango. Watakwenda kwa bwana zao sisiem na kuwapigia magoti.
Nawasihi sana wenzangu, tuanze kwa kuwawajibisha makao makuu ya vyama vyetu waliohongwa chai ikulu kisha wabunge wote wapuuzi, tena ni wote bila kuchagua chama. Wabunge wote ni wasaliti. Kuna faida gani ya kuwa na mbunge kama mchawi maji marefu? Anajua kitu zaidi ya uchawi?
Tuanze na vyama vyetu vya wafanyakazi, 2015 tuwanyooshe ccm , chadema na vyama cyote vya siasa. Kama ni rais bora awe mbwa kuliko mwana chama wa ccm , chadema, cuf au nccr. Wote wezi wa haki za mtanzania.