Tusishabikie sana jamani,nchi imekwama hii.

Ticha

Senior Member
Aug 26, 2007
135
8
:loco:Nchi haiendi hii ndugu zangu tutaaibika,wasomi tunao,wanasiasa tunao ,viongozi tunao.Tutulie tuangalia namna ya kuiokoa nchi hii hatujachelewa.Tunapoteza muda mwingi kupiga kelele,najua wote hali ya nchi tunaiona ndio maana tunapiga kelele kila kukicha.Sasa hizi nguvu tujipange kuiokoa nchi yetu,hivi wewe huwezi kuikomboa nchi hii.
Tunaona hospitari hatuna ,Shule ndo hivyo,ukiangalia na vyuo vyetu navyo,watawaliwa uuwiiiii,Wamebaki watawala tu.
Naomba tafsiri ya nchi,ukisha tafsiri maana ya NCHI,Angalia tafsiri hiyo kama Tanzania ipo .TUHURUMIANE,TUSAMEHEANE,MTU MZIMA HAPIGI KELELE,ILA UTAMUONA UNAGUGUMIA,UNAHITAJIKA MSAADA :director:
 
Back
Top Bottom