Tusipopata katiba mpya siku moja yatajitokeza yale yaliyotokea IVORY COAST

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
138
Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili hili,katika kilio chetu cha kudai katiba mpya maana nchi hii bila katiba mpya mengi yatatokea siku za usoni ambayo pengine yatakua kama ya Ivory Coast au hata mabaya zaidi, tujadili tulinusuru taifa letu
 
Acha Jaji Makame aendelee kutuchezea! Dawa yake Kumbe tungemuapisha Slaa ndipo angejua madhara ya kuchakachua yalivyo mabaya. Mimi nawapa heko wapinzani Ivory Coast. Maana kama hutaki katiba kubadilisha unakutana na kisiki cha mpingo kama hiki.
 
kwani kunatofauti gani ya wao na tz? utofauti ni kwamba Slaa aliona usitaarabu na heshima kwa Taifa lake akatulia japo alisema hayatambui matokeo,lakini hakuna utofauti wowote.kilichobakia ilikujwa ni kujiapisha mwenyewe na kwenda kuchukua ikulu ndogo mfano Mwanza,Lushoto et al na kuanza kuongoza mdogomdogo huko huko..
 
Kudai katika ni zaidi ya kudai uhuru!!!!!!! Wakati wa kudai uhuru wazungu walikuwa hawapori kura na kusema wananchi walikuwa wanapenda ili waendelee kutawala!!!!!!!! JK anapora utawala kwa kura hewa kisha anadai wananchi wanampenda!!!! Si amekwenda kutembeza bakuli, unadhani maswali makali ya waandishi wa habari wa kimataifa unadhani ataruhusu majibu yake yafike huku kwetukwenye vyombo vya habari hivi vinavyojikomba kwake????????????? Thubutu!! Bila shaka ataulizwa maswali ya aina ya hardtalk kuhusu alivyoiba kura na kupora utawala lakini atajiumauma tu ili apatiwe japo kiasi kidogo cha kuja kudanganyia wabongo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Watanzania wapenda maendeleo tukidhani katiba mpya itakuja kama mana TUNAJIDANGANYA!!!!!!!!! Kenya wamechinja wengi kufika hapo walipofika !!! How about Rwanda, Burundi, where else????????? JK na Mugabe hawana tofauti!!!!!!!!! Kama alidiriki kutumia matokeo hewa kujitwalia utawala kidhuluma , bila katiba hii mbovu unadhani angepenyea wapi!!!!! Sasa mafisadi nao wanajua kwamba any change of katiba before 2015, thier hopes for presidency are out!!!!!! Hivyo wanajiandaa na watatumia kila mbinu chafu ku-subortage jitihada za kutaka kuandika katiba mpya ili 2015 rais awe wa kuendeleza serikali ya kifisadi!!!!!!!!!!!!!!!!!! It is going to be a real fight, not lelemama!!!!!!!!:peace:
 
Wengi wetu tunajua yaliyotokea huko ivory coast ambapo wagombea wa viti vya urais wawili wote wanadai wameshinda uchaguzi mkuu na kila mmoja kujitangazia waziri wake mkuu,naomba tujadili hili,katika kilio chetu cha kudai katiba mpya maana nchi hii bila katiba mpya mengi yatatokea siku za usoni ambayo pengine yatakua kama ya Ivory Coast au hata mabaya zaidi, tujadili tulinusuru taifa letu

Hayo ndo ambayo Kikwete anataka. Maana anajua mwingie hawezi kutangazwa. kama tume ingemtangaza mwingine (si Kikwete), Kikwete angetangazwa na Jeshi!
 
ya cote d'ivore ni tofauti.
jamaa wa upinzani ameshinda lakini gbagbo hataki kuachia madaraka.
 
ya cote d'ivore ni tofauti.
jamaa wa upinzani ameshinda lakini gbagbo hataki kuachia madaraka.

hata Tz ilikuwa hivyo hivyo ila Dr. Slaa hakutaka hayo anajua njia nyingine kupitia nguvu ya umma.
 
Back
Top Bottom