Sooth
JF-Expert Member
- Apr 27, 2009
- 3,928
- 5,614
Ktk dunia ya leo huwezi kufanikiwa kwa kutumia nguvu tu. Elimu ina nafasi kubwa sana ktk kutatua matatizo mbalimbali, hata vita vinahitaji elimu. Mfano taifa la palestina haliwezi kupatikana kwa nguvu, kama nguvu ingekuwa na nafasi basi wangekuwa wameshafanikiwa. Hivi sie tunaopigania dini, tunazifaham na kuifuata misingi ya dini hizo? Dini hizo zilikujaje Afrika? Kama dini yangu itanitaka nimwue mtu mwingine,basi mm nipo radhi kuwa mpagani. Mnapogawa nchi, msitusahau wapagani!