Tusingekuwa na tatizo la ajira

nicnic

Member
Oct 2, 2012
23
1
Mmmh nimemsikiliza diwani wa kata ya kwadelo(kondoa) ITV leo kipindi cha kumekucha kwa kweli Hongera sana kijana,yeye kaamua kuhamasisha vijana wenzake walioko mjini wajiajiri katika sekta ya kilimo tena kwa kuwapa ardhi na kukopeshwa mitaji kwa kushirikiana na halmashauri yake,wanalima mahindi,mbaazi na alizeti. imagine uinvest 150000 utoke na 2000000 anakwambia heka moja inatoa magunia karibu 20..so much interested ila sitokei kondoa nami ningeunga tela.wako wapi madiwadi wetu wanaotoka maeneo yenye ardhi yenye rutuba waige mfano kwa huyu OMARY KARIAKI hakika 2015 wangerudi bila shida.tukipata kama hawa 50 wala sitaki kuajiriwa hata na BOT.
 
kilimo kwa jembe la mkono ndugu
hivi ulishawai kulima au unasikia tu
labda ujiandae kuwa farmer sio peasant!
ila ukijipanga vizuri utatoka kwa kilimo ,usikate tamaa
 
sio jembe la mkono mwenyewe anakwambia wana trecta kama 60 kwa kata yote hivyo yanakodishwa
 
Mmmh nimemsikiliza diwani wa kata ya kwadelo(kondoa) ITV leo kipindi cha kumekucha kwa kweli Hongera sana kijana,yeye kaamua kuhamasisha vijana wenzake walioko mjini wajiajiri katika sekta ya kilimo tena kwa kuwapa ardhi na kukopeshwa mitaji kwa kushirikiana na halmashauri yake,wanalima mahindi,mbaazi na alizeti. imagine uinvest 150000 utoke na 2000000 anakwambia heka moja inatoa magunia karibu 20..so much interested ila sitokei kondoa nami ningeunga tela.wako wapi madiwadi wetu wanaotoka maeneo yenye ardhi yenye rutuba waige mfano kwa huyu OMARY KARIAKI hakika 2015 wangerudi bila shida.tukipata kama hawa 50 wala sitaki kuajiriwa hata na BOT.

mkuu nimmoja wa wadau wa kilimo kwanzo. Naomba nifafanulie apo kwenye red colour, that means naomba mchanganuo coz nami natarajia kulima mahindi msimu huu.
acre 1 mahindi unavuna gunia ngapi?,
je 1gunia ya mahindi shilingi ngapi ukiuza(bei ya shamba)?

alizeti nayo naomba mchanganuo mkuu but also kama unafaam ufuta nipe mchanganuo, nitashukulu sana mzee
 
Kweli kilimo kinalipa isipokua Serikali haijaweka mikakati madhubuti ya kuendeleza kilimo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom