Tusimug'unye maneno rushwa wizara ya nishati ni mpango wa serikali .

Jan 16, 2007
721
176
Tumekua tunatumia muda mwingi kujadili swala la jaribio la wizara ya madini na nishati kutoa hongo kwa wabunge kupitishia bajeti ya wizara hiyo.Majina yametajwa Jairo,Ngereja n.k.Hapa kwa kutaja majina ni CHANGA LA MACHO.Haniingii kichwani ya kua mipango hiyo inaweza fanyika bila BARAKA ZA IKULU!.Na hili limekua likifanyika kwa muda mrefu katika wizara nyingi.ushahidi ni mikataba mibovu ambayo imekua ikipitishwa bungeni.TUNAPASHWA TUELEWE kelele za wabunge wa CCM kupitishwa mikataba mbali mbali "ZIMELIPIWA"Haya tusingeyafahamu Kama jaribio lingefanikiwa.Nasababu kuu za kishindikana kwa jaribio Hilo ni "HALI HALISI YA UMEME na mwamko wa wananchi ulioamasishwa na CHADEMA.kwa swala hili MWAJIBIKAJI MKUU NI JK MWENYEWE.Ndiyo maana hata ushugulikiji wa kashifa nzito kama Hii Waziri MKUU ,Spika,Takururu na JK mwenyewe ni kwikwi.MUNGU IBRIKI TANZANIA.
 
Hii mbona ilishakuwa ni kawaida ni utamaduni. Ndio maana Jairo akachukua kalamu na karatasi kuiandikia rasmi. Serikali na taasisi zake ndivyo wanavyoishi miaka mingi tu. Wewe uliona wapi rushwa inaombwa kwa maandishi mazito kama yale?
 
Ukweli ni kwamba ni vigumu sana kwa jK kumwajibisha Jairo. Haina tofauti na kabwe alivyofanya mwanza. Wote walikua wanajaribu kuiokoa serikali kwa maana kupita kwa bajeti ni ushindi kwa serikali husika
 
Hapa hakuna atakaye wajibishwa....kwanza haiwezekani mpango mzima kama huu waziri husika na naibu wake wasiujue.......inamaana kama Mawaziri husika wanaujua......inamaana mkuu wao atakuwa haujui kweli?????!!!!! Haiwezekani
 
Back
Top Bottom