Elections 2010 Tusikimbiane baada ya uchaguzi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,955
22,135
Kwanza napenda kufurah kwa kuona jinsi vijana walivyokuwana muamko wa kila sehemu kuataka mabadiliko tumeona mod wametuwekea jukwaa la uchaguzi ombi langu si haba kukawepo na jukwaa la baada ya uchaguzi tuangalie walioshindwa wapi wamekosea na nini kifanyike na si haba kuangalia je waliochukua nchi tutawasaidiaje kwa mapenzi ya watanzania wote na si vinginevy mwisho na penda kutoa wasaa baada ya uchaguzi tuungane kusaidia tanzania yetu uchama udini tuumalize baada ya 31 oct

kila la kheri kama umejiandikisha
 
Wachadema watakuwa wa kwanza kuhamia majukwaa mengine kama ze uchungu,n.k!Kwa maana kipondo cha uchaguzi watachokipata hawatakuwa radhi kuvumilia wenzao wakijilia bata kama afanyavyo Chidi beeenzi!
 
Hivi ninakuelewa au sikuelewi? Naweza kuitumia akili yako kwa niaba ya akili yangu? tafadhali nisaidie ndugu yangu!
 
Wachadema watakuwa wa kwanza kuhamia majukwaa mengine kama ze uchungu,n.k!Kwa maana kipondo cha uchaguzi watachokipata hawatakuwa radhi kuvumilia wenzao wakijilia bata kama afanyavyo Chidi beeenzi!

We waache wajipongeze na false hope zao. Uzuri wa hawa jamaa hawakosi nyimbo mpya, baada ya Nov 3 watakuja na kibao cha wizi wa kura.
 
Padri, Vaticano, Pengo and other crap
 
Kuna ID zitapotea humu jamvini, sijui watu wataweka wapi sura zao!

Kakalende, mimi nakuhakikishia kuwa kama nitakuwa hai baada ya uchaguzi, nitakuja hapa JF kama kawa. Mafisadi wa ccm mna kiburi na kujiona sana, huwa sijui mnafurahia nini kuona nchi inafilisiwa na familia ya Kikwete.

Kikwete atakwiba mali lakini hawezi kuzuia watu kuja hapa (hata kama akishinda kwa halali au lazima).
 
Mkuu kama tulikuwa wote vile,maana siku tatu tu zilizopita niliwaambia na kuwakumbusha kuwa tupo hapa na tutawauliza viliendeka aje,Na nikawakumbusha vile vile wasibadili Ids tu.
 
We waache wajipongeze na false hope zao. Uzuri wa hawa jamaa hawakosi nyimbo mpya, baada ya Nov 3 watakuja na kibao cha wizi wa kura.

Kanda2,

Hivi hicho kibao cha 'wizi wa kura' hujakisikia?
Kipo sasa kwenye single yao, nadhani uzinduzi wake ni Novemba 3.

Watake wasitake Ushindi ni lazima kwa sababu CCM inakubalika na kuaminika
 
Kwanza napenda kufurah kwa kuona jinsi vijana walivyokuwana muamko wa kila sehemu kuataka mabadiliko tumeona mod wametuwekea jukwaa la uchaguzi ombi langu si haba kukawepo na jukwaa la baada ya uchaguzi tuangalie walioshindwa wapi wamekosea na nini kifanyike na si haba kuangalia je waliochukua nchi tutawasaidiaje kwa mapenzi ya watanzania wote na si vinginevy mwisho na penda kutoa wasaa baada ya uchaguzi tuungane kusaidia tanzania yetu uchama udini tuumalize baada ya 31 oct

kila la kheri kama umejiandikisha

Sasa Pdidy, naomba ni sahihishe kidogo hapo kwenye udini. Tuache udini sasa na baada ya uchaguzi. Udini usiwe na nafasi katika jamii yetu. Nashukuru
 
Kanda2,

Hivi hicho kibao cha 'wizi wa kura' hujakisikia?
Kipo sasa kwenye single yao, nadhani uzinduzi wake ni Novemba 3.

Watake wasitake Ushindi ni lazima kwa sababu CCM inakubalika na kuaminika

Mkuu Pundamilia honestly, ulijisikiaje ulipomwona Kikwete akimnadi Pesambili Mramba huko Rombo, akimnadi Edward Lowassa huko Monduli, akimnadi Andrew Chenge huko Bariadi na alipolazimika kumkumbatia mshtakiwa wa rushwa Mwakalebela mjini Iringa. Ni kweli CCM wameapa kuwa tutake tusitake ushindi ni wao na hata gazeti la serikali nalo limedai hivyo, sasa kitu gani kinakufanya hata wewe uiamini CCM pamoja na hivi vitendo vyake ?
 
Hizo ndio siasa..Chadema, CCM, CUF all play politics, mwisho wa siku wanapeana mikono, wanacheka pamoja nk.
 
kibano cha chadema bandugu sipati picha! watapata asilimia 3% ya kura zote!! usifanye mchezo na Chama cha Mapinduzi
 
Mkuu Pundamilia honestly, ulijisikiaje ulipomwona Kikwete akimnadi Pesambili Mramba huko Rombo, akimnadi Edward Lowassa huko Monduli, akimnadi Andrew Chenge huko Bariadi na alipolazimika kumkumbatia mshtakiwa wa rushwa Mwakalebela mjini Iringa. Ni kweli CCM wameapa kuwa tutake tusitake ushindi ni wao na hata gazeti la serikali nalo limedai hivyo, sasa kitu gani kinakufanya hata wewe uiamini CCM pamoja na hivi vitendo vyake ?

Mkuu Mag#,
Ahsante sana kwa maswali yako mazuri sana ambayo pia ningependa kutumia fursa hii tujifunze jambo muhimu katika utawala wa sheria.

Ni vema tukakumbuka kuwa MTUHUMIWA hatiwi HATIANI hadi pale vyombo ambavyo vinahusika na jukumu hilo vimesema hivyo. Aidha mtuhumiwa ataendelea kuishi maisha yake ya kawaida bila ya kunyimwa haki zake za msingi za kikatiba.

Kikwete kama Rais yuko katika mhimili mwingine wa dola na hana mamlaka ya kisheria kufanya kazi ya kuhukumu au kutunga sheria.
Kwahiyo basi Mramba na Mwakalebela hawajanyang'anywa haki zao za kimsingi za kikatiba. Wanahaki zote sawa kama vile mimi na wewe na wala Rais hapaswi kuziingilia pasipo na sababu za msingi za kufanya hivyo. Masuala ya Mramba na Mwakalebela yataamuliwa na mhimili mwingine wa dola na si Rais.

Suala la Chenge, Lowassa, nk nadhani halina msingi wowote wa kulijadili hapa. Tunaangalia na kuzingatia utawala wa sheria na utawala bora. Kuna mamlaka zinazofanya kazi ya kushitaki watu baada ya kuwa na ushahidi wa kutosha katika madai kusudiwa. Hata hivyo vyombo hivyo haviwezi ku-conlude kwamba watu au kundi fulani lipelekwe mahakamani just because baadhi ya watu wanataka hivyo, no hatuendi hivyo.
 
kanda2,

hivi hicho kibao cha 'wizi wa kura' hujakisikia?
kipo sasa kwenye single yao, nadhani uzinduzi wake ni novemba 3.

watake wasitake ushindi ni lazima kwa sababu ccm inakubalika na kuaminika

ccm ushindi ni lazima tutashinda tuu ila ukweli nikwamba mheshimiwa kazidiwa saana, kashindwa kutimiza mengi saana na shangaa hata wachungaji wametukimbia jamani, mashehe pia au sababu ya mahakama ya kadhi.
Ccm oleeeeeee
 
Back
Top Bottom