Tusiime school!!!ushauri please!

SWEET HUSBAND

Member
Aug 22, 2012
97
57
Hodi humu ndani,ok hope nimepokelewa!!jamani mwenzenu nimehamia tabata huko Kinyerezi,sasa nina mtoto wa kuanza shule,ni 3 years,nimeuliza shule nikaambiwa mpeleke tusiime,nikauliza why TUsiime,ni nzuri tu ila walimu wanachapa sana,ila ni nzuri,sasa wamenichanganya,please anaeifahamu vizuri naomba ushauri wenu.Na sifungamani na Tusime tu kama kuna shule nyingine nijuzeni please.
 
safi kama wanachapa mpeleke then ni primary au sekondari kama ni secondary google matokeo yake utajua mbona rais uzuri wa shule ni wanafunzi kufaulu na je hapo karibu na shule hakuna wananchi kama wapo wanasemaje
 
Ni nursery ndugu,sekondary nilishafuatilia,sio mazuri saanaa!!na wala sio ya kawaida,kwa sec sio mazuri kwa kweli,sasa sijui kwa primary na nersery!!
 
Ok,nitaiulizia,hua naona bango kubwaa!!Uzuri wa Genius ni nini mpenzi as compared to Tusiime?
 
Kama we sio mhaya usijaribu tusiime, maana hadi walinzi pale wametolewa Kagera na karibia lugha yao ya mawasiliano kiofisi itakuwa kihaya. Mi naisha hapa tbt Chama karibia kabisa na hii shule,naijua vizuri, ukitaka mtoto wako apate elimu ya kistaarabu mpeleke Genius King kama ukishindwa kabisa kupata pale kanisani kristu mfalme tbt magengeni.
 
Kama we sio mhaya usijaribu
tusiime, maana hadi walinzi pale wametolewa Kagera na karibia lugha yao
ya mawasiliano kiofisi itakuwa kihaya. Mi naisha hapa tbt Chama karibia
kabisa na hii shule,naijua vizuri, ukitaka mtoto wako apate elimu ya
kistaarabu mpeleke Genius King kama ukishindwa kabisa kupata pale
kanisani kristu mfalme tbt magengeni.

Hapo kwenye ukabila umenena!
 
Kwa primary na nursery ni nzuri,ila wanao wawe maninja kule ni kijeshijeshi
 
Genious King ni nzuri,au jaribu Fountain Gate pale Tbt sigara au Christ the King pale magengeni...
 
Kama we sio mhaya usijaribu tusiime, maana hadi walinzi pale wametolewa Kagera na karibia lugha yao ya mawasiliano kiofisi itakuwa kihaya. Mi naisha hapa tbt Chama karibia kabisa na hii shule,naijua vizuri, ukitaka mtoto wako apate elimu ya kistaarabu mpeleke Genius King kama ukishindwa kabisa kupata pale kanisani kristu mfalme tbt magengeni.

Kwa kweli kwa uhaya na mi nimeshangaa jana niliwakuta kule kwa academic ninini sijui,wanaongea kihaya wako watatu,kwenda kuangalia mazingira ya darasani nikaona tena walimu wako wawili wamesimama nje ya darasa la baby wanaongea kihaya,na watoto wako darasani,nikajiuliza mhh team nzima ni wahaya eeh,leo naingia humu nakuta hivi,mweeeh!!
 
Asanteni kwa ushauri,nilivyoenda jana Tusiime pia sijapenda mazingira ya shule,hakuna hata michezo ya watoto.Nitafuatilia na Genious King pia.
 
Huyo jamaa aliyekushauri kikabila anataka kurudisha maendeleo yako nyuma hapa tanzania hakuna shule za kikabila zaidi ya kuona shule za kidini nazo administration inakuwa ni ya kidini mfano wakatoliki na waislamu lakini wanafunzi wanaokuwa admitted pale ni mchanganyiko wa dini zote na hamna segregation na wanafanya vizuri na kama hiyo shule ingekuwa ni ya wahaya tu wangeipeleka Bukoba au Muleba lakni kwa kuwa ni taasisi ya kijamii ndio maana hiko huko jamani great thinker inakuwaje. Mtaka msaada nakushauri umpeleke mwanao hiyo shule kama ni nzuri lakin huyo mtoto usimweke border kwani watoto siku hizi wanafanyiwa umafia na wenzao wakubwa mpeleke borda atakapojitambua vizuri.
 
Mtanisamehe watu wa tusiime, wamiliki na walimu ila ukweli ni.....
nilikuwa na mtoto wangu anasoma pale nursery nimemuhamisha kisa...? administartion wameshindwa kudhibiti idadi ya watoto darasani, ukienda pale watakupokea na watakwambia lipia ada mtoto wako asome ukifika wanakwambia peleka mtoto wako dara sa fulani hata darasa hujui likwapi unafanya kuulizia ukifika darasani ticha anakwambia siwezi mkumpokea mtoto kwa sababu darasa limejaa nitashindwa kuwacontrol watoto na kucheki hivi darasa lina watoto 40 lol na wakwangu anakuwa wa 41 na wengine nyuma yangu wako 8 heeeh!! ntafanyaje sasa na ada hawarudishi daah!
akili kumkichwa ada yako isiende bure...
ikabidi nilonge na mwalimu kiingereza ili akuone wewe ni mzazi wa msomi wa kileo na fweza ipo coz kihaya sikijui na mie siyo mhaya, nikamnong'oneza ticha, mpokee mtoto wangu tutakuwa na mawasiliano mazuri palepale nikadondosha wekundu ticha akamkumbatia my son na nikamwacha hapo ila nilipotoka hapo nilianza kupiga simu kutafuta shule nyingine. Mwaka mzima ikawa ni kumrushia vocha ya simu ticha na kumpelekea vizawadi kama matunda, saa, pochi coz ni mwanamke na ili mtoto afundishwe na aende na wakati coz darasani wako wengi ikabidi ticha aniambie itabidi tumpe mtoto extra classes wakati wenzie wanacheza yeye anakuwa nae bennet kusoma na kweli performance alichange ila money needed for extra classes. Daah i payed the tuition fee cash kwa ticha hii ya kwake sio ya shule yaani baada ya mwaka hawakuniona tena nilimsepesha kid wangu now yuko shule ambayo iko poa wanafunzi wachache na maendeleo mazuri.
Tusiime ilikuwa shule nzuri imeharibiwa na hao wahaya wenyewe kutodhibiti idadi ya wanafunzi darasani na pamoja na kulipa ada kubwa why ulipe tuition tena? inamaana ada unayolipa ni ya kula lunch na usafiri tuu, kusoma ndo iwe tuition? kwa kweli management yao inatakiwa ijipange upya vinginevyo itakuwa kama ilikuwa kama ilivokuwa st marry's ya mama rwakatare ilikuwa nzuri kipindi inaanza now days imebaki school bus tu!! lol!
si bora umpeleke mtoto shule hizi za kata then ulipie tuition kuliko ulipe academy na bado upeleke tuition. Kwani tuition kazi yake ni nini? labda mie sielewi ila hii ya Tusiime sio fair hata.
nawakilisha tuu
ever remaining,
Sakapal
 
Ni nursery ndugu,sekondary nilishafuatilia,sio mazuri saanaa!!na wala sio ya kawaida,kwa sec sio mazuri kwa kweli,sasa sijui kwa primary na nersery!!

Hapo kwenye bold uko sahihi. Sekondari ya Tusiime sio good performers. Nilitaka kumpeleka mwanangu hapo, lakini baada ya kuangalia matokeo ilibidi nimpeleke sehemu nyingine. Naongelea A level
 
Mtanisamehe watu wa tusiime, wamiliki na walimu ila ukweli ni.....
nilikuwa na mtoto wangu anasoma pale nursery nimemuhamisha kisa...? administartion wameshindwa kudhibiti idadi ya watoto darasani, ukienda pale watakupokea na watakwambia lipia ada mtoto wako asome ukifika wanakwambia peleka mtoto wako dara sa fulani hata darasa hujui likwapi unafanya kuulizia ukifika darasani ticha anakwambia siwezi mkumpokea mtoto kwa sababu darasa limejaa nitashindwa kuwacontrol watoto na kucheki hivi darasa lina watoto 40 lol na wakwangu anakuwa wa 41 na wengine nyuma yangu wako 8 heeeh!! ntafanyaje sasa na ada hawarudishi daah!
akili kumkichwa ada yako isiende bure...
ikabidi nilonge na mwalimu kiingereza ili akuone wewe ni mzazi wa msomi wa kileo na fweza ipo coz kihaya sikijui na mie siyo mhaya, nikamnong'oneza ticha, mpokee mtoto wangu tutakuwa na mawasiliano mazuri palepale nikadondosha wekundu ticha akamkumbatia my son na nikamwacha hapo ila nilipotoka hapo nilianza kupiga simu kutafuta shule nyingine. Mwaka mzima ikawa ni kumrushia vocha ya simu ticha na kumpelekea vizawadi kama matunda, saa, pochi coz ni mwanamke na ili mtoto afundishwe na aende na wakati coz darasani wako wengi ikabidi ticha aniambie itabidi tumpe mtoto extra classes wakati wenzie wanacheza yeye anakuwa nae bennet kusoma na kweli performance alichange ila money needed for extra classes. Daah i payed the tuition fee cash kwa ticha hii ya kwake sio ya shule yaani baada ya mwaka hawakuniona tena nilimsepesha kid wangu now yuko shule ambayo iko poa wanafunzi wachache na maendeleo mazuri.
Tusiime ilikuwa shule nzuri imeharibiwa na hao wahaya wenyewe kutodhibiti idadi ya wanafunzi darasani na pamoja na kulipa ada kubwa why ulipe tuition tena? inamaana ada unayolipa ni ya kula lunch na usafiri tuu, kusoma ndo iwe tuition? kwa kweli management yao inatakiwa ijipange upya vinginevyo itakuwa kama ilikuwa kama ilivokuwa st marry's ya mama rwakatare ilikuwa nzuri kipindi inaanza now days imebaki school bus tu!! lol!
si bora umpeleke mtoto shule hizi za kata then ulipie tuition kuliko ulipe academy na bado upeleke tuition. Kwani tuition kazi yake ni nini? labda mie sielewi ila hii ya Tusiime sio fair hata.
nawakilisha tuu
ever remaining,
Sakapal

Uwiii,asante ndugu,ndio maana walikataa kunipeleka kuona watoto darasani nini,niliishia mlangoni,eti mpaka watoke class,mi hata sikupata picha,kumbe wako wengi mno eeh!!Mungu wangu na one parent aliniambia watoto wako wengi ila ukiwa vizuri na class teacher atakuwa anamwangalia kwa karibu tu.Sasa mpenzi Sakapal please niende wapi sasa nisije potea na mimi please!!!
 
Kama we sio mhaya usijaribu tusiime, maana hadi walinzi pale wametolewa Kagera na karibia lugha yao ya mawasiliano kiofisi itakuwa kihaya. Mi naisha hapa tbt Chama karibia kabisa na hii shule,naijua vizuri, ukitaka mtoto wako apate elimu ya kistaarabu mpeleke Genius King kama ukishindwa kabisa kupata pale kanisani kristu mfalme tbt magengeni.

Makubwa. Au kwa sababu mmiliki wake ni yule Waziri mwanamama Mhaya
 
Uwiii,asante ndugu,ndio maana walikataa kunipeleka kuona watoto darasani nini,niliishia mlangoni,eti mpaka watoke class,mi hata sikupata picha,kumbe wako wengi mno eeh!!Mungu wangu na one parent aliniambia watoto wako wengi ila ukiwa vizuri na class teacher atakuwa anamwangalia kwa karibu tu.Sasa mpenzi Sakapal please niende wapi sasa nisije potea na mimi please!!!

heee!! hapo kwenye bold na underline...... mmmh!! utapigwa mingumi usiyoitarajia na kumwagiwa tindikali na mwenye mali ooohooooo!!

Kwenye italic shule nzuri ziko nyingi tuu mshiko wako tuu, search google utapata hadi picha za shule unayotaka au waweza endelea kuzitembelea ili uzione kwa undani hasa.
Ila kwenye bold na underline tafadhali....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom