Tusihukumu kabila jamani! Kila mmoja na msalaba wake

Mcheza Karate

JF-Expert Member
Jun 30, 2011
690
350
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
 
Hongera kwa kua na akili pamoja na mawazo yako mwenyewe na sio ya kuambiwa!!
 
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
duh...wewe huoi basi
 
na mimi nakubaliana na wewe kabisa,,,,,, tabia si ukabila,,, ni mtu binafsi,,, so hakuna haja ya kulaumu kabla,,,
 
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?

Angalia tabia za wazazi wako kwa kuwa ni lazima wametoka mojawapo ya hayo makabila. then tumia uamuzi wako wewe kama wewe.
 
Sometimes kweli jamani,me naona utumie muda sahihi wakumchunguza mchumba tabia hazijifichi utajua tu. Wanasema elimu huondoa ujinga ila mila na desturi zipo hapohapo.Watu wa mara pia hujazana kwa ndugu yao ukoo mzima hasa kukiwa na space.Yapo hayo jamani though tutakataa.
 
Sio sahihi kuhukumu kabila zima lakini kuna uhusiano fulani wa kitabia kati ya kabila lako, sehemu uliyokulia/uliyoishi na tabia zako. Kumbuka mtoto anajifunza mambo mengi kupitia kwa wazazi wake na watu wa karibu waliomzunguka, iwe ni tabia nzuri au tabia mbaya. Hali kadhalika na wazazi walijifunza pia kupitia kwa wazazi wao. Kwa bahati mbaya mara nyingi tabia za kabila fulani unapozitaja utapingwa sana na wahusika pale zitakapokuwa na sifa mbaya na utapata support za wahusika pale zitakapokuwa na sifa nzuri. Kwa mfano ukisema kabila fulani wanajua sana kutafuta pesa utapata support japokuwa ukweli unabaki kuwa ni wengi wao na si wote ila unaposema kabila hilo hilo hawajui mapenzi unapingwa. Ukweli unabaki kwamba kuna baadhi ya tabia nzuri au mbaya tumezirithi kutoka kwenye mila na desturi za makabila yetu.
 
Hapa mimi sichangii sababu sijui kitu,....na huo ndio mchango wangu
 
Ni kweli kaka J-N,mi ninavyoona yule anayekuwa bize kutafuta pesa atakuwa expert kwenye area hiyo na mzembe upande wa mapenzi(naomba nisiwatajie kabila hili),na wale walio bize na mapenzi abvious watakuwa expert huko na wataonekana wavivu kwenye kutafuta pesa(pia siwataji).Sasa kwanini wasiigane?huyu akachukua ya yule na yule akachukua ya huyu then wakabalance na itatoka product nzuri sana hapo.

Imagine unaoa mke hodari kwa kutafuta pesa(uchumi wa familia unanawiri) halafu ukija kwenye mapenzi ndio usiseme,huoni ni product ya nguvu hiyo?

Mi nashauri tujifunze kuiga mazuri toka makabila mbalimbali na kuacha yale mabaya kama uvivu,wizi,kupiga wenza,ubinafsi n.k
 
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa kichaga, kipare,kinyakyusa usioe ni wauaji wa mume mkishafanikiwa kama ilivyo kwa wazaramo, wadigo,wasambaana wabondei ambao huambiwa ni wavivu. Wahaya hushutumiwa kwa kale katabia ka kutoka nje ya ndoa. Je ni sahihi kuhukumu kabila? Mi nadhani si sahihi kwa vile tabia mbaya ni silika ya mtu huzaliwa nayo na kukuzwa nayo si kabila. Je mwana JF unasemaje?
afu me natamani kulia hasa WaMACHAME wanaonewa sn ktk hlo! Wangekuwa wanaua waume wangekuwa wajane wote bhana!
 
miamia

Baba docta.

Mama mwalimu

Mtoto mwanasheria.

Hapo kumtumia mtu lawama za ukabila ni sumu.
Hata wagogo wanandonya ila siyo wote.nadhani mtoa mada kaweka híi mada kijamii.na ndivo inavotakiwa.
 
Zamani ishu ya makabila ilikuwa ilikuwa ni kitu muhimu sana wakati wa kuchagua mke wa kuoa! Hii ilikuwa ni kutokana na mazingiza mtu anayozaliwa na kukulia. Ilikuwa rahisi kwa msichana ku adopt anachokiona kwenye mazingira aliyozaliwa na kukulia.
Miaka ya sasa kutokana na mobility ya watu, elimu na interactions mbalimbali, wanawake wamebadilika. Mmachame si mmachame tena, mhaya si mhaya tena na mkurya si mkurya! Kwahiyo wale mnaotaka kuoa, hutakiwi tena kuangalia kabila cuz kila kitu now kimebadilika
 
Back
Top Bottom