Tusidanganyike, zitto kabwe hana nia na uraisi..!

Tanzaniaist

Senior Member
Nov 29, 2011
161
156
Kama mlifikiri mheshimiwa Zitto Zuberi Kabwe ana nia na uraisi...,basi hilo ni changa la macho hasa kwa wananchi wa mkoa wa kigoma mnaodanganywa na kuingizwa mjini na mh.Zitto kwamba eti mtatoa Raisi..,Msidanganyike wananchi wa Kigoma..Zitto Kabwe hana nia na Uraisi ila anatekeleza mipango ya CCM kumaliza na kusarambatisha Upinzani nchini...!

Zitto Kabwe amekuwa MSALITI,JEURI na mwenye TAMAA kwa kuamua kukisaliti chama chake kama jinsi Yuda Iskarioti alivyomsaliti Yesu kristo,

Baada ya mipango yake na Kafulila kumngo'a Mbatia kukwama ndani ya NCCR..,sasa ameamua kutekeleza zama yake ya URAISI ili kuleta mgawanyiko ndani ya CHADEMA na kati ya wabunge hasa tunayoona sasa hv NASSARI anavyoweweseka....huku pia akitumia vyombo vya habari kama jinsi mafisadi wanavyotumia kujisafisha...!

Napenda kuwasilisha..!
 
Zitto anatumiwa sana na ccm kuisambaratisha CDM.
Nadhani8 mnakumbuka wakati wa uchaguzi mkuu 2010 alivyokuwa anashirikiana na akina Zoka kuchakachua kura za Urais wa CDM.

Huyu mara nyingi sana anatumiwa na ccm. Tunaomba viongozi wakuu wa CDM kuwa makini sana na Zitto.

Ndiyo maana wakati ule wabunge wenzio walimpiga chini kwa sababu ya kujipendekeza sana kwa ccm na hasa kwa jk.
 
WAKATI ULE UPI????? Be specific and clarity
 
WAKATI ULE UPI????? Be specific and clarity

Wabunge wote alikubaliana kutoka nje ya Bunge wakati jk atakapoanza kuhutubia.

Lakini Zitto hakukubaliana nao akaanza kwenda kwenye vyombo vya habari na kuanza kujikosha kwa jk wakati ule ulikuwa uwamuzi wa pamoja. Hii ilisababisha wabunge wezio wamtoe kwenye nafasi ya Kaimu Mkuu wa Kambi rasmi ya Upinzani bungeni.

Baadaye Viongozi wakuu wa CDM ndio walikuja kumrudisha.

Zitoo ni mwanasiasa mzuri LAKINI AACHE KUTUMIWA NA CCM NA jk
 
Back
Top Bottom