Tusidanganyane: Kipigo cha Ulimboka Serikali ilihusika

Kama serikali inahusika wahusika hawatakamatwa maana watalindwa, kama serikali haihusiki watuhumiwa wangeshakamatwa maana wangeanza ku-track mawasiliano ya simu kati ya Dr. Ulimbokana na Watuhumiwa, its very easy kwenye teknolojia ya leo. They can not dare do that maana wataji-expose!
 
Sasa tutajifunza kuwa kiongozi wa nchi achaguliwi kwa sura nzuri. Alichofaulu JK katika historia yake ya uongozi ni rais pekee aliyeuzuria misiba mingi ukiachilia mbali safaria nyingi ilizofanya. Istoshe pamoja na kuwa kwake madarakani kwa mashaka tokea uchaguzi wa 2010 ndio maana utawala wake uko legelege, waziri mkuu Pinda ni kama screen saver tu hana alifanyalo na wala hana maamuzi. Ni waziri mkuu pekee anayeonekana kupwaya katika uongozi wake, ataligharimu Taifa kwa kulipwa pension kubwa pale atakapostaafu ili hali hakuna kitu anafanya. Ni hasara kwa Taifa. Anajua hata akijiuzulu madaraka sasa hv atavikosa vingi.
 
Serikali ingefaidika nini kwa kumuua ulimboka?

Wasioitakia mema Serikali iliyopo madarakani ndio wanafaidika ikiwa Ulimboka anadhurika, na kumuuwa isingekuwa na impact sana kama hivi ilivyo sasa. Hakutakiwa afe huyo. Angetakiwa afe si angemiminiwa risasi tu. Huu ni uchonganishi wa hali ya juu na mwenye kufikiri japo kidogo analiona hilo.

Nna kila sababu za kuamini kuwa si Serikali iliyofanya hivi bali ni kikundi cha kigaidi kisichoitakia mema Serikali.

Uchunguzi wa Serikali uanze kwa watu au vikundi vyenye kauli za "nchi haitotawalika", ukweli utajulikana tu.
 
Wapi prof. Mwaikusa?
Rwegasira wa TRL..

May be its time for Mwakyembe to come clean. We want to hear from you sir.. the truth will always set you free.
"Do not be afraid God is with you.....he will give you strength ..... and help you......
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom