Tusichangie Mafao ya wafanyakazi mpaka suruhu

CDM

Member
Jan 19, 2012
73
25
Maadam SSRA wamesema wasitisha kwa miezi sita kushughulika na Mafao mpaka muongozo. nawaomba waajiri wote wasipeleke NSSF, PPF na kwingineko mpaka baada ya muongozo huo yaaani miezi sita. Haina maana usitishe huku hiyo ni mbaya kuliko DECI
 
Tumeshindwa kuchangia thread yako kwa vile hujaeleweka. SURUHU?
 
Naunga Mkono Hoja kwa 100%,plz waajiri msipeleke hela kwenye mifuko mpaka hao waje ni miongozo inayoeleweka,kama mbwaimbwai.
 
Back
Top Bottom