Tusali....

Mungu si binadamu hata aseme uongo. lazima atatusikia maombi yetu. maana alisema katika maneno yake kuwa NIITE,NAMI NITAITIKA KISHA NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA USIO.......YER 33:3
 
Sometimes it better keep quite, dont you think so?
wewe ndo wa kunyamaza mwache mtu amwage ya kwake, we mungu unamjua ni wa jinsia gani? na anaishi wapi? na huko mbinguni mnasemaga anaishi ni wapi? ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom