Tusali na Tufunge kwa ajili ya Mafisadi

BLUE BALAA

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
1,222
764
Mambo katika nchi yetu hayaendi vizuri kabisa. Watanzania wanakufa kwa njaa, wanakosa huduma za kawaida (basic needs) za jamii kama elimu, afya, maji, mlo wa kawaida na mengine mengi. Kuna kikundi labda 0.5% ndiyo wanaishi vizuri. Sitaki tuishi kama wao ila angalau tupate basic needs. Hizo ndege, mashangini watumie wao sisi watuhakikishie tu mlo, shule, maji na matibabu.

Kelele zinapigwa kwenye magazeti, Forums, radio lakini sioni dalili za sisi wachache kupata haki zetu za msingi.

Sasa basi. Kwanini sisi wa Tanzania tunaoteseka tusifunge na kumwomba Mungu wetu awaangamize hawa wachache wanao tunyanyasa ili tubaki na watu waadilifu ambao hawata jipendelea. Nashauri kuanzia mwaka 2011 uwe mwaka wa maombi kwa Mungu awaangamize kina

1. Lowassa
2. Chenge
3. Karamagi
4. Rostam
5
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15
 
Mmmmh si tutakondeana na wao wakiendelea kula kuku, sema tuwashtaki kwa Mungu ikiwezekana awape kazi ngumu kuliko mfungwa yeyote au wazitumie ovyo bila kujua hadi ziishe, mfano; akienda dukani kununua gari awazadishie hata mara kumi zaidi!b
 
Mmh!mi naona tunataka kukwepa wajibu wetu,uwezo wa kupambana na mafisadi tunao,cha msingi kila mmoja wetu afanye kazi ya kuwahamasisha watu wake wa karibu umuhimu wa kupambana nao.Pia awajulishe ni kwa vipi wanatusababishia ugumu wa maisha mpaka waelewe.TUSAMBAZE SUMU YA UHASI NCHI NZIMA NDIO DAWA,!
 
mungu mara zote humsaidia anaejisaidia. Mafisadi tunawajua ni wajibu wetu kuwaangamiza. Inatakiwa ujasiri kidogo then tufanye actions. Hivi mnajua watu hao hawana ulinzi kabisa wa kisasa. Hata mkwere tukiamua kumuua tutaweza.kama wamarekani walimuu kenedy wakati wana ma department kibao ya security sasa hawa akina zoka na mgaza sini wachumba tu?wanachojua ni kusafiri na mkwere kwenda kula bata nchi za watu. Hakuna cha kumsubiri mungu, tuwa uwe tu kwa njia yeyote hawako tayari kuachia nchi.
 
Back
Top Bottom